Hii mimi imewahi nitokea kwenye paper ishu ni wasi wasi hivyo hivyo yaan unaambiwa bado dakika 10 na kuna swali haujalifanya duh hilo hal ikawa inatokea 4m 4 mara moja Advance hapana lkn chuo pia mara moja
Mshatolewa kwenye ishu ya PM wameleta hii msahau kule na wamefanikiwa Bongo nyumbu wengi sana tena. Sana yaani akili hata hawana hiyo clip imekuja kuziba ya PM, CCM itaendelea kuongoza hizi ng’ombe vizazi na vizazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.