CCM wana 100b na zaidi. Hawajazipeleka mikoani kusaidia kampeni za wabunge. Zinatumika kwenye timu ya Nchimbi na Samia tu.
Kupewa magari, mafuta na posho za madereva haitoshi si unaona hata majukwa ya mbao yamewashinda. Tengeneze umoja wa vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi. Itisheni...
Huku kijijini kwetu Masalawe Kongwa nilikotoka kuleta mhogo mkubwa kuliko yote hapa Nanenane Dodoma nimeshangaa kumwona Bashe anapiga kazi eti ni waziri na anatumia V8 ya serikali. Mbona mhe. diwani wetu kazi zake zote zinafanywa na mtendaji wetu wa kata. Au wizara ya Bashe haina katibu mkuu...
Nimepitia takwimu ya Sensa ya taifa iliyofanyika 2022, katika jedwali la mgawanyo wa idadi watu kiumri katika makundi ya miaka mitano mitano ( Population Distribution by Age Group).
Ukianzia na kundi la chini kabisa la miaka (15 - 19) mpaka la wale zaidi ya umri 85 .
Jumla ni watanzania...
Nimeona taarifa kuwa Kuna wanaCCM watahamia Chaumma na kuwa wabunge na baadae kutengeneza Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni fake Ili kuwalaghai wazungu walete pesa. Kuchangia bajeti yetu tegemezi chini ya kiongozi wa Upinzani Bungeni Mbowe. Atakayekuwa mbunge wa kuteuliwa na Rais baadae ya...
Mwamposa hana waumini. Ni mwanamaombi anayemiliki hema na siyo kanisa wanaofika kwenye maombi ni waislamu, wasabato, wakatoliki, n.k. Ni Sasa na Mwakasege tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.