Recent content by TRANSRAPID

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyezowea umasikni, hakomboleki, Nyumba na (Mapagala)mengi ya watu masikini ndio yenye bendera za CCM

    Haweelewi kwamba mungu mwenyewe ni mwenye wivu.ukimzingua anakuzingua kinoma
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyezowea umasikni, hakomboleki, Nyumba na (Mapagala)mengi ya watu masikini ndio yenye bendera za CCM

    Hii nchi Haina upinzani WA kweli cjui kama mnaelewa.wangekuwepo bac Mwka HUU walikua wanapewa green light na wananch mapema sana.politics is a science and c mihemko.ukihemka wenye mamlaka Yao wanatumia fursa KAZI imeisha.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyezowea umasikni, hakomboleki, Nyumba na (Mapagala)mengi ya watu masikini ndio yenye bendera za CCM

    Nyie matajiri jitoni mhanga muwakomboe.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyezowea umasikni, hakomboleki, Nyumba na (Mapagala)mengi ya watu masikini ndio yenye bendera za CCM

    Kumbe kina albinda Seth kina GSM walioichangia CCM wale ni masikini eti?nilichogundua masikini wengi mko nyuma ya kibodi.tokeni front line.mmeshaambiwa fanyeni KAZI acheni wivu.hakuna SERIKALI Dunia ni itakosa kusemwa.kasemwa na kukataliwa bwana YESU sembuse raia WA kitanzania asisemwe.kila SAA...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nauona Upinzani Ukiichukua Nchi 2030

    Kwa hiyo upinzani usikate tamaa.akitoka raisi mwanamke upinzani utachukua nchi.mkeka WA sheh yahaya bado haujachanika.wasiwe na para.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 huko Kizimkazi, Zanzibar

    Hii ya citizen sawa Sasa.taarifa ni haki yetu ya kikatiba.kama hakuna kunakua na ombwe.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 huko Kizimkazi, Zanzibar

    Hii Dunia ya Leo...?ni balaa.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mliosema Uchaguzi Mkuu hauna uhalali kimataifa, Umoja wa Ulaya umeomba kuwa Waangalizi wa uchaguzi

    Waangalizi kuwepo ni muhimu Waangalizi ni muhimu kwenye chaguzi.hasa wale wenye akili timamu na walioshiba.
  9. T

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo Stendi Kuu ya Nanenane (Dodoma) hali siyo nzuri, vile vya Walemavu wamevifunga

    Afisa mtendaji yupo,meneja wa stand yupo.lundo la watu but useless.hv wasafiri wa nchi za watu wakikuta vyoo vya aina hii wanatuchukuliaje?ni kama tuliwafukuza wkoloni mapema.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Je, Tumeikosa Huruma Yetu ya Kibinadamu?

    Kwa Nini bana?Kwani c wamesema kifo ni kifo tu.mbona unataka kuzua taharuki jamani?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

    Sio kosa lake.
Back
Top Bottom