Recent content by train ya umeme

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sawa kwa binti wa kilokole au wa kiislamu kuvaa suruali?

    Kuna mdau kauliza kabla wazungu hawajaleta suruali,kipindi watu walikuwa wanavaa magome ya miti na labda wanafunga kaniki je hapo nani kavaa nguo ya mwanaume au nani kavaa nguo ya mwanamke?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Bado dereva wa gari na kondakta kuitwa kuulizwa kwa nini walipita njia iliyopigwa risasi.

    Inasemeka Mbowe ndio aliyetoa amri Polisi watumie risasi za moto kuwatawanya waandamaji Uzuri polisi wengi hawakutii amri risasi nyingi zilipigwa hewani kasoro moja tu ndio ikampata kwa bahati mbaya Dada yetu mpendwa. Mbowe ana kesi ya kujibu kuratibu maandamano na kuamuru Polisi watumie risasi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Christian Bwaya atiwa mbaroni kwa kuweka picha ya wanafunzi waliokaa chini wakifanya mtihani wilayani Iramba

    Hivi upo sawa kichwani Ulichoandika ulifiria mara mbili mbili au umeandika tu? Na hii ndio sababu tunaendeshwa km magari mabovu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Watanzania wengi akili zetu zimefungwa ndio mana tunaendeshwa km magari yalikosa break kwenye mlima kitonga lakini haya yanayoendelea kwa hii serikali watanzania wote tungesema hapana naamini hawa viongozi wasingefanya haya. Ila kwa upande wangu naomba ccm na serikali yake waendelee kufanya hivi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Kaka au Dada yangu siasa ndio Shule,ndio chuo,ndio hospital,ndio maendeleo ya watu sasa kama huzitaki hayo maendeleo na ustawi utatoka wapi kama tunakuwa na viongozi wasio na utu?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwako Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Ndugu Mnyeti

    Manyara watendaji na wafanyakazi wa serikali matumbo joto sababu ya binadamu mmoja tu. Hana tofauti na bashite na Gambo Wa Arusha, hawa vijana hawana hekima,hawana hofu ya Mungu na hawana busara kabisaaa. Wamejisahau sana wanadhani watakuwa kwenye hayo madaraka milele. Mnyeti sauti ya wengi ni...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ni miezi kadhaa sasa tangu tumeanza kuishi pamoja lakini sijui pesa zake anapeleka wapi

    Yaani nilipata mkaka Wa namna hiyo uwiii nikamwambie ishia siwezi kuthubutu hata kuwaza kuolewa nawe. Natukanwa matusi hadi kesho kisa nimemwambia siwezi kuishi au kuolewa na mwanaume bahili akaaah! Sasa huyu dada lazima alikuwa anamjua huyo mwanaume akaamua kuishi nae,endelee kuvumilia si...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ni miezi kadhaa sasa tangu tumeanza kuishi pamoja lakini sijui pesa zake anapeleka wapi

    Nyie ndio wanaume msiojua kutunza wake zenu,mnafurahia wakiwa nadhifu na kupendeza ila kugharamia wajigharamie wenyewe aibu huoni? Usiyejua hata kumnunulia lotion,nguo za ndani nk nk ila akitokelezea unajidai mbele za watu
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ni miezi kadhaa sasa tangu tumeanza kuishi pamoja lakini sijui pesa zake anapeleka wapi

    Nikwambie kama mwanaume mwanzoni hakujali kwa hela ya salon nk hata ukiishi nae atakuwa hivyo hivyo kama unampenda vumilia habadiliki huyo ndio tabia yake.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ni miezi kadhaa sasa tangu tumeanza kuishi pamoja lakini sijui pesa zake anapeleka wapi

    Mwanaume Wa namna hiyo hujulikana kabla hujaamua kuishi nae kwamba yupo hivyo sasa ulivyoamua kuishi nae na tabia zake za kutokukutunza ulizijua cha kufanya endelea kuvumilia km mwanzo mlivyoanza mahusiano. Labda utuambie mlivyokuwa kwenye mahusiano kabla ya kuanza kuishi pamoja alikuwa anakupa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Aibu: Mtoto Mdogo akatishwa viuno mkutano wa siasa Kinondoni

    Tatizo sio Team Mange ila je kinachoongelewa in cha kweli?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Sasa wanamjua vema

    Huyu Dada alikuwa hivi hata kabla ya kuolewa na kupewa talaka labda km umeanza kumfatilia juzi ndio utasema amevurugwa sababu ya kuachwa Kama unakumbuka alikuwa na page ya Uturn blog uliza alikuwa anafanya nini sio kumpatakazia eti talaka ndio sababu Hata wewe weka jina lako kamili halafu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    Nawe waungana na mtukufu shekhe kusoma albadili licha ya madhambi yoooote watu wanayoyafichua kupitia ukurasa wa instagrama wa Mambi? Halafu nashangaa mnamchukia wakati watu waliotendewa hivyo na huyo shekhe ndio wanamtumia, nashauri wasomeeni na wanaomtumia taarifa kuhusu shekhe itakuwa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    Akikupa na Mimi nitumie na mana hivi vyuma kumbe shekhe ana gris zimejaa!!!
Back
Top Bottom