Recent content by tprisssst

  1. T

    Iran and new Advanced Smart bombs

    Aiseed hawajamaa wanatafutiwa visa sidhani kama kwa hizi purukushani za kukamatwa kwa oil tanker na kutunishiana misuli watabaki salama ,,,,,ingawa kwasasa inaonekana vita zakizamani za kupigana kwa silaha zinakoma ila dalili za hujuma kubwa na hatari zaidi ya vita zinaonekana
  2. T

    India yaimeza rasmi Kashmir, ni wakati muafaka kuimeza Zanzibar?

    Yap ,siku hizi naona wametulia ila
  3. T

    Huawei tayari wamekamilisha Operating System (OS) yao

    Yap , na ukiangalia utaona China taratibu anaanza kujitoa kutegemea USA na nyuma yake Urusi nao bila hofu wanapambana kuidamp dola ,,ujerumani nao hawapo mbali sana ,,,,naamini US kwanamna moja au nyingine wameiharibu dunia sanasana !!!! Natamani one makao makuu ya UNO na agency zake zihamie...
  4. T

    Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

    Yap Ndiyo ,na hadi Leo zipo .Ukitafakari utaona Africa tuna tembea na dini mbili 1.Za asili 2 , za kisasa na watu husema dini haiuwi Ila mila inauwa !!!! Ukisoma vitabu hususani agano la kale lina mafungamano makubwa na baadhi ya tamaduni na imani nyingi za kiafrica ,,,,kuna kabila nalifahamu...
  5. T

    Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    Kweli inabidi aoneshe kwa kutumia maandiko ya kidini na ya waandishi waliowai kutafiti hili jambo ,kinyume na hapo inaonekana ni utunzi
Back
Top Bottom