India yaimeza rasmi Kashmir, ni wakati muafaka kuimeza Zanzibar?

Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
17,254
Points
2,000
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
17,254 2,000
Tulishidwa kwasababu nyie ni wanetu tukawasamehe maana sio vizuri mnatokwa na machozi mkilia na muumie macho kwa sababu ya vibatali vyenu
Kabla ya muungano Zanzibar walikuwa wakitumia umeme, nyumba ya kwanza kuwa na umeme Afrika Mashariki na kati ipo Zanzibar taa za barabarani Zanzibar zimewekwa mwanzo kuliko katika jiji la New York, nyumba ya kwanza kuwa na lifti ya umeme Afrika Mashariki na kati ipo Zanzibar, sasa kaa chini jiulize walikuwa wakitumia umeme gani! Mwehu kabisa wewe. Mkuu usiwe mjinga kamili bakisha walau akili kidogo zikusaidie, usiwe na akili za kwendea chooni tu!
 
Prem 96

Prem 96

Senior Member
Joined
Jul 19, 2019
Messages
158
Points
250
Prem 96

Prem 96

Senior Member
Joined Jul 19, 2019
158 250
Naona India na Pakistan siku hizi wameanza kuwa watani maana mpaka sasa hivi sijasikia mtanange
 
T

tprisssst

Member
Joined
Mar 31, 2016
Messages
7
Points
45
T

tprisssst

Member
Joined Mar 31, 2016
7 45
"Under the provision, Indians outside the state were blocked from permanently settling, buying land, holding local government jobs and securing education scholarships."

Yaani Mwalimu na Karume ni copy & paste kutoka India hicho kipengele ambacho kimeendelea kulindwa kwa udi na uvumba ilhali sisi ni nchi moja ya Tanzania! Exactly kama ilivyo case ya Zanzibar.
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
15,990
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
15,990 2,000
Kabla ya muungano Zanzibar walikuwa wakitumia umeme, nyumba ya kwanza kuwa na umeme Afrika Mashariki na kati ipo Zanzibar taa za barabarani Zanzibar zimewekwa mwanzo kuliko katika jiji la New York, nyumba ya kwanza kuwa na lifti ya umeme Afrika Mashariki na kati ipo Zanzibar, sasa kaa chini jiulize walikuwa wakitumia umeme gani! Mwehu kabisa wewe. Mkuu usiwe mjinga kamili bakisha walau akili kidogo zikusaidie, usiwe na akili za kwendea chooni tu!
Aisee tusitishane boss hata sisi huku bara mwaka 2015 kuna ghorofa ya kwanza iliwekewa lift hapo mbeya mpk mkuu wa mkoa akaenda kuizindua aisee hahah.

Nakumbushia tena ni mwaka 2015,hahah.
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
17,254
Points
2,000
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
17,254 2,000
Aisee tusitishane boss hata sisi huku bara mwaka 2015 kuna ghorofa ya kwanza iliwekewa lift hapo mbeya mpk mkuu wa mkoa akaenda kuizindua aisee hahah.

Nakumbushia tena ni mwaka 2015,hahah.
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
15,990
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
15,990 2,000
Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Messages
2,033
Points
2,000
Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2015
2,033 2,000
Article 370 ya Katiba ya India iliipa Jammu and Kashmir hadhi fulani ya kujitawala (autonomy) kama ilivyo Zanzibar kwa Tanzania. Ili kumaliza chokochoko za kila mara huko Kashmir, imetoka Presidential Order ya kulimeza rasmi hilo jimbo na, kwa maana hiyo, kuanzia sasa, Jammu and Kashmir halina choice tena na badala yake litakuwa na hadhi sawa na majimbo/mikoa mingine ya India. Je, si wakati muafaka sasa Tanzania ikafanya kama ilivyofanya India ili kuondoa sintofahamu za mara kwa mara? Pascal Mayalla

============

The Indian government on Monday issued a presidential order to scrap the constitutionally mandated special status of Kashmir, the country's only Muslim-majority region.

Here are five things to know about the unprecedented move:

- What is Article 370? -

Article 370 gave Jammu and Kashmir state a special position in India's union. The provision gave Kashmir's assembly the power to vet national laws passed by New Delhi.

It also gave the state a separate constitution and a flag.

Under the provision, Indians outside the state were blocked from permanently settling, buying land, holding local government jobs and securing education scholarships.

Under the changed status, the region will now be governed by the laws applicable to other Indian citizens.

- Why now? -

The Hindu nationalist government of Prime Minister Narendra Modi enjoys a sizeable majority in parliament after dominating the polls in the April-May elections.

Modi's right-wing Bharatiya Janata Party (BJP) can now push through parliament its key policy goals. This includes the BJP's long-held promise to scrap Article 370, which it argues is necessary to integrate Kashmir with the rest of the country.

Critics say the BJP's latest move is a part of its agenda to please core supporters and win more votes by stoking Hindu nationalist fervour.

The move is in line with its muscular approach towards Kashmir and Pakistan, which also claims the former Himalayan kingdom.

- Significance -

The special status, which has been in place since May 14, 1954, has helped Kashmiri Muslims and other communities preserve their strong sense of culture.

The ditching of the status has highlighted long-running fears that the local way of life and customs could be lost amid migration from other parts of the country.

Analysts say the Indian government wants to change the region's demographics by allowing non-Kashmiris, mostly Hindus, to buy land and settle there permanently.

It is also likely to worsen the simmering and bloody rebellion in Kashmir, where an insurgency over the past three decades has left more than 70,000 dead, mainly civilians.

Source: https://news.yahoo.com/five-things-know-indian-kashmirs-changed-status-115534895.html
Kuna kila sababu ya kutangaza rasmi Zanzibar kuwa mkowa wa 27 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Huku kisiwa kizima cha Pemba na kisiwa kizima cha Unguja vikifanywa kuwa wilaya zinazounda mkoa wa Zanzibar
 
Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Messages
2,033
Points
2,000
Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2015
2,033 2,000
UNATAKA VUGUVUGU LITOKEE EE?
Litokee mara ngapi?

Dawa ya hizo vuguvugu ni kuifanya Zanzibar kuwa mkoa (kuimeza kabisa)

Mamlaka ya ndani waliyonayo ndiyo yanayowapa kiburi/moyo wa kufanya hizo vuguvugu...the same to Kashmir
 
Congo

Congo

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2008
Messages
1,515
Points
2,000
Congo

Congo

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2008
1,515 2,000
Hapo zitapigwa na Pakistan mpk asubuhi.
Watalaumiana. Hawawezi kupigana. Jammu na Kashmir imegawanywa vipande viwili. Cha kaskazini kinatawaliwa na Pakistani na kusini India. Hiyo artical 370 inahusu kile kipande cha India tu.
 
Joseverest

Joseverest

Verified Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
42,777
Points
2,000
Joseverest

Joseverest

Verified Member
Joined Sep 25, 2013
42,777 2,000
Litokee mara ngapi?

Dawa ya hizo vuguvugu ni kuifanya Zanzibar kuwa mkoa (kuimeza kabisa)

Mamlaka ya ndani waliyonayo ndiyo yanayowapa kiburi/moyo wa kufanya hizo vuguvugu...the same to Kashmir
OKAY...SAWA TUSUBIRI TUONE
 
D

DASM

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,263
Points
2,000
D

DASM

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,263 2,000
Ni wakati mwafaka hii itasaidia kuondoa hii sintofahamu inayoendelea Kati ya Zanzibar na serikali ya Muungano
Article 370 ya Katiba ya India iliipa Jammu and Kashmir hadhi fulani ya kujitawala (autonomy) kama ilivyo Zanzibar kwa Tanzania. Ili kumaliza chokochoko za kila mara huko Kashmir, imetoka Presidential Order ya kulimeza rasmi hilo jimbo na, kwa maana hiyo, kuanzia sasa, Jammu and Kashmir halina choice tena na badala yake litakuwa na hadhi sawa na majimbo/mikoa mingine ya India. Je, si wakati muafaka sasa Tanzania ikafanya kama ilivyofanya India ili kuondoa sintofahamu za mara kwa mara? Pascal Mayalla

============

The Indian government on Monday issued a presidential order to scrap the constitutionally mandated special status of Kashmir, the country's only Muslim-majority region.

Here are five things to know about the unprecedented move:

- What is Article 370? -

Article 370 gave Jammu and Kashmir state a special position in India's union. The provision gave Kashmir's assembly the power to vet national laws passed by New Delhi.

It also gave the state a separate constitution and a flag.

Under the provision, Indians outside the state were blocked from permanently settling, buying land, holding local government jobs and securing education scholarships.

Under the changed status, the region will now be governed by the laws applicable to other Indian citizens.

- Why now? -

The Hindu nationalist government of Prime Minister Narendra Modi enjoys a sizeable majority in parliament after dominating the polls in the April-May elections.

Modi's right-wing Bharatiya Janata Party (BJP) can now push through parliament its key policy goals. This includes the BJP's long-held promise to scrap Article 370, which it argues is necessary to integrate Kashmir with the rest of the country.

Critics say the BJP's latest move is a part of its agenda to please core supporters and win more votes by stoking Hindu nationalist fervour.

The move is in line with its muscular approach towards Kashmir and Pakistan, which also claims the former Himalayan kingdom.

- Significance -

The special status, which has been in place since May 14, 1954, has helped Kashmiri Muslims and other communities preserve their strong sense of culture.

The ditching of the status has highlighted long-running fears that the local way of life and customs could be lost amid migration from other parts of the country.

Analysts say the Indian government wants to change the region's demographics by allowing non-Kashmiris, mostly Hindus, to buy land and settle there permanently.

It is also likely to worsen the simmering and bloody rebellion in Kashmir, where an insurgency over the past three decades has left more than 70,000 dead, mainly civilians.

Source: https://news.yahoo.com/five-things-know-indian-kashmirs-changed-status-115534895.html
 
Forum statistics

Threads 1,326,681
Members 509,566
Posts 32,230,849
Top