Recent content by tpaul

  1. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndugu wazee wa mikeka, hawa Borusia Dortmund ni takataka
  2. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Msajili wa Vyama, sajilini vyama vya Gen Z, msipofanya hivyo wataunda Vikundi vya Waasi!

    Sahihi kabisa mkuu.
  3. tpaul

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

    Kama kuna wanawake wa aina hii, ni afadhali kabisa kwenda kujiponza Kimboka by Night kuliko kudate na mwanamke mwenye akili hizi.
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

    Halafu siku hiyo hiyo unaanza kuitwa 'MUME WANGU". Wanawake wa kizazi hiki Mungu anawaona.
  5. tpaul

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

    Mkuu unterview inakuwa guided sio unajipangia tu majibu. Watafiti wapo sahihi.
  6. tpaul

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

    Utafiti umeisha huo😅🤣😂
  7. tpaul

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

    Wanagombania MUDA mkuu.
  8. tpaul

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

    Mhh! Wewe sasa utakuwa danga😅🤣😂
  9. tpaul

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutoa Leseni za Ualimu kupitia Bodi ya Taaluma ya Ualimu

    Nani kasema hayo mkuu?
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutoa Leseni za Ualimu kupitia Bodi ya Taaluma ya Ualimu

    Yaani hii serikali badala ya kuwaza mambo ya msingi na yenye tija kwa walimu, wanawaza ujinga tu?
  11. tpaul

    JamiiForums Tanzania Connection ya Hermonize imeniharibia Nofap challenge yangu

    Mkuu embu tuma hiyo connection PM chap tugawane hiyo dhambi
  12. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ghana yapiga marufuku kuhubiri kwenye Mabasi, Jela Miezi 8 faini Dola 52

    Wawapige tu marufuku. Wanatusumbua sana hawa jamaa.
  13. tpaul

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi kuweka ‘Gas Detector’ kukagua hewa Vyumba vya kubadilishia nguo Dabi ya Kariakoo

    Kwani wachezaji wa Yanga na Simba ndio tu wasioweza kuvuta hewa chafu? Vipi kuhusu wachezaji kutoka timu ndogo? Je, wao hawana haki ya kuvuta hewa safi?
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

    Hebu toa namba nikutumie mkuu😅🤣😂
  15. tpaul

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

    Kwani wewe hupendi pesa mkuu?
Back
Top Bottom