Recent content by Town Hustler

  1. Town Hustler

    Utaratibu wa kuomba ajira kupitia ofisi ya Waziri Mkuu(walemavu) ukoje ?

    Mbona maswali mengi mkuu Naomba nisaidie nilichouliza km unafahamu
  2. Town Hustler

    Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Pitia guidebook ya TCU kwa diploma
  3. Town Hustler

    Utaratibu wa kuomba ajira kupitia ofisi ya Waziri Mkuu(walemavu) ukoje ?

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kupitisha maombi Ofisi ya Waziri Mkuu(wenye ulemavu) Nasikia utawala wa awamu hii kuna utaratibu huo ili kuwezesha wenye auemavu kupata ajira serikalini
  4. Town Hustler

    Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Shukrani mkuu Nilipata hofu, nitaanza kuregister upya
  5. Town Hustler

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Nilitaka kuapply chuo fulani, nikaanza kujisajili sasa nikapata changamoto siku 4 nikashindwa kulipa application fee Je , itakuwaje ? Siwezi apply tena ? Hata chuo kingine ?
  6. Town Hustler

    Nilipokoswa koswa kuambukizwa UKIMWI nikiwa mdogo

    Aiichosema kina ukwel,mimi nilimgonga HIIV +ve mwaka mzima bila kujua na sikuambukizwa Kulala na mwenye VVU sio guarantee kwamba lazima uambukizwe
  7. Town Hustler

    Nisome kozi gani?

    Nishafanya hivyo ila kuna changamoto imenitokea Nilitaka kuapply chuo fulani, nikaanza kujisajili sasa nikapata changamoto siku 4 nikashindwa kulipa application fee Je , itakuwaje ? Siwezi apply tena ? Hata chuo kingine ?
  8. Town Hustler

    Nifanye nini kufanikisha hili?

    Sio lazima Ila nisaidie hayo maswali yangu
  9. Town Hustler

    Nifanye nini kufanikisha hili?

    Nilitaka kuapply chuo fulani, nikaanza kujisajili sasa nikapata changamoto siku 4 nikashindwa kulipa application fee. Je, itakuwaje ? Siwezi apply tena ? Hata chuo kingine?
  10. Town Hustler

    Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Nilitaka kuapply chuo fulani, nikaanza kujisajili sasa nikapata changamoto siku 4 nikashindwa kulipa application fee Je , itakuwaje ? Siwezi apply tena ? Hata chuo kingine ?
  11. Town Hustler

    Nisome kozi gani?

    Economics kwa hali yangu ngumu.....
  12. Town Hustler

    Nisome kozi gani?

    Nina hearing disability so nataka kuwa afisa maendeleo ya jamii au masuala ya serikali za mitaa/tawala za mikoa na mipango
  13. Town Hustler

    Nisome kozi gani?

    Sawa ila pia naweza pita kwa kuwa nina hearing disability(usikivu hafifu)
  14. Town Hustler

    Nisome kozi gani?

    Sijaona kozi zinazokubaliLaw Chuo cha Mipango
Back
Top Bottom