Utaratibu wa kuomba ajira kupitia ofisi ya Waziri Mkuu(walemavu) ukoje ?

Town Hustler

JF-Expert Member
Oct 25, 2016
278
364
Naomba kujuzwa utaratibu wa kupitisha maombi Ofisi ya Waziri Mkuu(wenye ulemavu)

Nasikia utawala wa awamu hii kuna utaratibu huo ili kuwezesha wenye auemavu kupata ajira serikalini
 
Back
Top Bottom