Recent content by Toughlendon

  1. Toughlendon

    Tukio la binti aliekalia kiti cha rais ni aibu kubwa

    Ila Tanzania ina mambo yakipuuz sana 😂😂😂😂😂, wewe ni Lukas umekuja kwa staili ingine au? Nimecheka 😐😂😂😂
  2. Toughlendon

    Hasara za kuwa baba wa kambo

    Game IMEANZA na handicap, daah Ma SIMP kazi wanayo 😂😂😂😂😂
  3. Toughlendon

    Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

    Na ndio mana Ben katangulia mbele za haki alioa demu wa mramba ili apate cheo mpare yupo na mama Ben yupo. Kama unawashauri watu waoe kwa koneksheni sasa na nafasi ya mapenz iko wapi?
  4. Toughlendon

    Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

    Jeff yupo single, bilgates yupo single, ujue me sio muumini wa kataa ndoa ila nisepe ukweli majamaa wa kataa ndoa huwa wana point fulan zinaweza kukusaidia kwenye maisha ya mahusiano na hizo ndio huwa nadeal nazo...
  5. Toughlendon

    Mechi ya Derby, Simba tunaingia kama "Underdog"

    WaMakuwa man mambo simba anakufa 3-0
  6. Toughlendon

    Serikali iingilie kati bei za mayai

    Ambacho hujui wanaouza rejareja bei hawashushagi ndio mana chipsi Yai haiwez kushuka bei yake...Labda kama ukinunua trei zimaa
  7. Toughlendon

    Kwanini Hospitali ya St. Benedict, Ndanda, Mtwara huuliza wateja dini zao?

    Hospital gani ? Nlikuwa aghakhan sijaulizwa kitu kama hiyo, na kama wanauliza na wao ni racist pia, hakuna logical explanation ya kumtibu mtu ugonjwa na kujua dini yake na kabila lake. Kunatengeneza matabaka ya upendeleo wa huduma. Mfano kuna siku nlimpeleka mama dental clinic ya muhimbili sasa...
  8. Toughlendon

    PreGE2025 Suala la maslahi ya Tanganyika tunataka liwe addressed kampeni 2025!

    Yan kwenye magroup yenu ya WhatsApp ndio mawazo yenu haya, aisee this country has a very long way to go, au wewe WASIRA MASTA ? MANAKE AISEE, SIELEWI 😂😂😂
  9. Toughlendon

    Mke wangu ana ngoma, kanieleza wazi alivyoipata

    Na album Yao inaitwa beki hazikabi
  10. Toughlendon

    Msaada: Je, unaweza kupata nakala ya taarifa zako ulizojaza NIDA?

    Mkuu juzi nlikuwa najaza taarifa za bank kwa nida hata jina la mwanangu walisema nimekosea huyu sio anataka hizo taarifa amezisahau anajaribu tu Kucross check tu awe na uhakika, nakumbuka hata wakati naingia kwenye mfumo wa TRA nliulizwa maswali yakanitoa knockout, jina la mama nlikosa, mara...
  11. Toughlendon

    PreGE2025 Suala la maslahi ya Tanganyika tunataka liwe addressed kampeni 2025!

    I am not complaining, I don't like complaining, but I am telling you to stick with what has been said instead of attacking people personally, attacking people personally is not going to give us answers is it ? It not nonsense before you clarify it's nonsense...watu wanataka majibu hawataki...
Back
Top Bottom