Recent content by TOTOBAYA

  1. T

    Blood groups: Differences and conspiracy theories, ukweli ni upi?

    Kwa upande wako na wa mtoto endapo atakua ni O+ kwa kurithi blood group ya baba hakutakua na shida yoyote. Ila, kama mtoto atarithi blood group yako na kwa bahati mbaya kukatokea mchanganyiko wa damu yako na ya mtoto either kabla au wakati wa kuzaliwa inaweza kuleta shida. Wakati wa kuzaliwa...
  2. T

    Mwezi mmoja kabla ya kujifungua mke wangu anataka nimnunulie Murano

    Mlete tumtabaruku na atapata na kabajaj juu ya murano. Bullshit!
  3. T

    LHRC: Wabunge upinzani wafunika CCM; Makinda dhaifu!

    huyu mama, yupo kama speaker kwa malengo ya wachache, kwa ufupi ni kwamba hiyo nafasi kwake ni maji marefu, atajutia nafasi hii, amezoea kuropoka kama mwanamipasho, tusubirie!
  4. T

    Sheikh Yahya Alazwa !!

    pole yake, kuweni makini, atahamishia ugonjwa kwenu, ha haha
Back
Top Bottom