Hapo kosa kwa mtazamo wangu ni wa mume ambaye hawezi pambanua haki ya mke na ndg zake wengine. Kukosa maelewano huko tu nimeona pengo kubwa mno ambalo tayari linavunja ndoa ambayo ilishabomoka siku nyingi. Tena mke akiacha kazi na gari kuuzwa manyanyaso yatakuwa mengi MNO hata miezi 2 kwangu ni...
Hivi 'Taata' hawa watu wanaelewa kwa nini kuna mikoa wanatahiri kwa kampeni ya M/C (male circumcision) ya bure? Kwetu hiyo haipo maana wote kufiki darasa la nne tu ni wanaume wasafi tayari, lazima watuombe radhi haraka sana.
Achana na siku ya kwanza bhana, ile aibu na hofu ya mwanamke humpa mwanaume raha ya aina yake. Lakn akikuzoea makeke yoote huisha na mara nyingi mazoea hupelekea mwanaume ajidungie mwenyewe, hivyo haina mvuta saaana !!
Wanao-cheat hivyo ni wa Dar, sisi wa mikoani tunasema ukweli kwa tunaotongoza tunawaambia nina mke na wake zetu pia huwa tunawaambia kuwa huko nje kuna poozeo au mapoozeo. Kikubwa ni tusiharibu budget ya main compus tu.
Inabidi tuwe wapole kwani tumetupia za vimwana wakali weee, sasa ni zamu yao. Hebu tupieni za ma-handsome ili nasi tujue pa kuwanasa part 2 kwani awali walidhani nguvu ya kiume ni pesa kumbe uso nao una nguvu duuuuh.
Badala umshukuru MUNGU amepona ktk harakati hiyo ya ujauzito hadi kuzalishwa, wewe eti ameonwa. Anzisha maternity home hapo kwako ili next pregnancy umzalishe mwenyewe, ili pia kupunguza tatizo la wazazi kulala wawili wawili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.