Ninachokina ni kichokonoa habari tu ilikuvuta hisia za wengi na kutaka kufuatilia hii habari katika gazeti la mwanahalisi hivyo HATUWEZI kukomaa na hicho kichokonoa habari tena kinachoonyesha kimechukulia kutoka katika maoni ya mtu ambaye ni mjumbe wa kamati kuu CDM na kuifnaya sasa ndio habari...
Polisi wakati mwingine sijui ni uwezo wa kujenga hoja au wananukuliwa vibaya: Hivi kweli unaweza kuzuia movements za raia huru kisa wengine wanaacha kazi kwaajili ya raia huyo/hao?
Hivi DR.Magufuuli akifanya alichofanya LOWASA itakuwa ni halali?
Hoja hapo imekuwa usalama wa raia na usalama wa...
Ni rahisi sana kushabikiai siasa za udini na ukabila au ukanda kwa manufaa ya kisiasa kwa kuangalia mwisho wa pua lakini madhara ya ushabiki wa propaganda hizi ni makubwa kuliko vile inavyoweza kudhaniwa,hawa wanasiasa na wapambe wa aina hizi za siasa chafu wanafurahia na kuona wamemshinda au...
Nilichoelewa katoka katika tukio hili la ndugu LOWASA kupanda daladala na kuenda kwa watu wa kawaida si kafanya hivyo ili ajue shida zao la hasha bila shaka anazijua ,siyo kwamba aonekane ni mtu wa kawaida, mtu mnyonge la hasha
Kafanya hivyo ili kujiuuza,kuzidi kujitangaza kafanya 'TUKIO" na...
Katika jambo ambalo sikulitegeme kabisa kutoka CCM ni vile ambavyo makada wa Chama Cha Mapinduzi kusimama jukwani tena siku ya ufunguzi wa kampeni na kushambulia wapinzani kwa vijembe na hata "matusi" hata mwenyekiti wa chama mpaka maraisi wastaafu jamani CCM mmesishiwa kiasi hicho?au mlikuwa...
Hitimisho la mzee Butiku kwamba:
1. Mwalimu alitaka CCM imeguke wale wasiokubaliana na chama watoke,siku aliyoyasema hayo kuna mtu alimjibu kwamba mwl. anaondoka ktk chama na kutaka kukivuruga kwa kauli kama hiyo,baadae huyu mtu na wenzake wakaenda kufanya tafriji kwamba wameweza kumjibu mwalimu...
[Mzee kingunge ameongeza kuwa Lowassa yupo tayari kushirikiana na Chama kusaidia Chama kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi mkuu, lakini yaliyotokea lazima yazungumzwe kwa uwazi ndani ya vikao vya Chama ili watu watoe madukufuku yao.]
nadhani haya maneno ni ya busara zaidi katika maana...
Ni pigo kubwa sana kwa jeshi letu la polisi, jeshi ambalo lipo duni katika mambo mengi kutoka na ufinyu wa bajeti hivyo kufanya kazi katika mazingira magumu ikiwa ni pamoja kuingilia kisiasa katika utendaji wao.
Ni huzuni sana kwa vifo, hatua za haraka inabidi zikuchukulie
RIP Askari wote...
Mimi ninaamini chadema walijipanga, lazima walikuwa na mikakati kam ambayo tumekwisha ishuhudia hasa hiyo ya M4C na operesheni nyingine nakadhalika lakini ukweli ni kwamba matokeo ya mikakati hiyo hayakuwa n aushawishi mkubwa na wakudumu mpk sasa!chadema wanatakiwa kufanya tathimini upya na kuja...
Kuwashinda CCM ni jambo ngumu si jambo rahisi, hata ikipigwa kura ya siri wanaweza kuweka mkakati wa mjumbe wa CCM ahakikishe anamuonyesha jirani yake kura yake hiyo ya siri kabla ya kuikusanya,hivyo wao kwa wao wakawa walinzi wa watakaonekana kwenda kinyume na kuweka mechanism ya kuhakisha...
GWAMAKAE ingekuwa vyema sana kama ungefungua website ya Welcome to DUCE then ucheck hili tangazo http://duce.ac.tz/images/Announcement/announcement_6.pdf
Wnajamvini kwa taarifa nilizipata mimi ni kwamba:
MEALS AND ACCOMODATION ni tshs 1,852,500
Books and Stationery 200,000
Field 620,000*
Kwamba kila mwanafunzi anapewa sawa pesa ya meals and accomodation na pia Books and...
cjaona ubaya wa kuvujisia hyo list japo haijajulikani hyo list imevuja ktk hatua gani!Tusiwalaumu sana TCU kwan selection ni process inayohusisha vyuo na TCU na nadhani wamejiwekea timeframe au deadline za matukio ya hatua za mchakato wa selection so MOYN WA SUBIRA ni muhimu katika kupata...
nijuavyo mimi selection zinafanyika TCU through Central Admission System lakini ni process ambayo inahusisha vyuo katika hatua mbali mbali ambapo kila chuo hutumiwa soft copy ya list ya successful applicants from Central Admission System,vyuo hufanyia kazia hiyo list na hatimaye senate au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.