Mkuu sio huyo tu kuna producer wa hicho kipindi aliipa yy ataunganisha nguvu na vijana wenzake kuhakikisha serikali tatu hazipiti, then hujui vitu ilikuwa aibu wkt anahojiwa na Jenarali Ulimwengu anajikanyaga na kusingizia watu bila evedance.Sasa inawezekana ameanzia na hapo kwenye kipindi chake
Mkuu Rich
ww ndio upo mjini una ufahamu huu? kama hauna msukumo wowote nyuma yako,basi kuna haja ya kureform structure ya mitaala ya elimu kuanzia chekechea hadi chuo kikuu
Mkuu Ritz
kuna inshu unataka kuindress ila ulichokosea ni mahali ulipoilekeza naomba kwenye kila mahali ulipoandika Dr Slaa futa weka neno Mwigulu then uipitie itakavyo leta maana kuna mtu anajiita mamba au tembo ss anakwambia hole wako utoe elimu ya uraia kwa wananchi wake
Mkuu
Hayo unayoyasema inawezekana ila tumuombe kwenye hotuba ya mwisho wa mwezi hayazungumze kwani inchi imechafuka nje ya mipaka na ndani. Kama jana ulipata nafasi ya kumsikiliza Mh Mwakyembe wkt anahojiwa kwenye kipindi cha jeneraly on monday ch 10 alipata kigugumizi kidogo kujibu swali je...
Mkuu Ritz
Inaonekana umefanya utafiti baada ya kumaliza nyumbani vp mgombea wenu ana nafasi yeyote? Vp kuhusu kinyanganyiro cha urais kupitia ccm kweli hatutakufa kama hao ubunge unahofu kuwa wakurya watauna? Hivi haya mamilioni ya mzee EL yapotee bure
kwa hiyo report yao inasubiri ushahidi wa Mbowe ili kiwe kiambatanisho au vp? wasema kama wameshindwa ili kuliko kujiabisha kwa kiasi hiki yale ya kiana victor hd leo hatujui muendelezo wake, polisi na bange kimya hivi hawa wanaweza kuchunguza nn na kikaisha kwa wakati
mkuu nimekupata hivi kwa nn muungano wetu unaonekana kama umeshikwa na zanzibar? ina maana watanganyika tumekuwa watu wa kupuzia sana au tulikosa watu wa kutusemea kwa nguvu kudai tanganyika? g55 walisambaratishwa,mtikila haeleweki,mm nakubaliana na ww uwezekano wa machafuko nami nauona kwani...
Ritz kwa nn unasisitiza kila mara watu wapeleke ushahidi kwenye vyombo vya dola kuhusu huyu jamaa na raia wengi wamekwambia shutuma zake zipo hadi kwa amiri jeshi mkuu lkn hamna kilichofanyika ukadai wivu wa kike sasa acha hukumu nyingine zitolewe bila kufuata sheria wm si amesema wapigwe tu.Ila...
Pamoja kamanda,ila bado tuna deni la kuwataja wahusika wa mlipuko pale soweto kwa majina. Ningependekeza tuombe mkutano wa kuwashukuru wanaArusha na hapo tumalize kiu pomaja na mikakati ya kutimiza ahadi zetu ambazo ziko ndani ya uwezo wetu thanx naomba kuwasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.