Recent content by Tory wiz

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kingu kugawa Vitanda kwenye jimbo la Tundu Lissu

    Uzalendo sio kusimamia maswala ya kijimbo tu kazi anayofanya TL ukiipuza utakua ubnafsi umekujaa au hutafakari kiupanda Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nashauri Maalim Sef na Lipumba mfanye hivi kwa faida ya CUF

    Siasa nchini imekua ya kulipa visasi Na kulenga namna ya kukandamiza upande mmoja unao jaribu kujijenga kisiasa ee mola tunusuru Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hivi STAR TV ndio imekufa au inajiandaa kulipa kodi ya TRA?

    Kinachofuata sasa ni sisi wateja wa vingamuzi tulivyonavyo kuvifungulia mashitaka kuendelea kutoza ada ile ile ya kila mwezi huku star tv hairushi wanajuaje kama nilinunua kingamuzi kwa ajili ya Dira ya Dunia! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tabia gani usiyoipenda sebuleni?

    Mkuu ww noma uitwe kipindi cha chumban lkn sebuleni kumbe umebobea Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    JamiiForums Tanzania Siwachongei TFDA lakini ni kweli Mchele wa Plastic upo na unauzwa

    Kama umefanikiwa kuuona sehemu toa taarifa wakiipuza ndo rise concern yako mkuu Post sent using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom