Recent content by torvic

  1. torvic

    JamiiForums Tanzania Je, umepoteza kitu nyumbani kwako? Fanya hivi ili kukipata..

    Nimekupata, Sasa ngoja nijaribu kutafuta vilivyopotea.
  2. torvic

    JamiiForums Tanzania Zai kama upo humu JF natumaini ulipata msaada ambao ulikuwa unahitaji. Sikuwahi kujua kuwa mwanaume anaweza mkimbia mwanamke sababu ya kutaka sex sana

    Itakuwa zainab amempata wakufanana naye. Bwana mdogo jitulize hizo shuhuli zimekushinda.
  3. torvic

    JamiiForums Tanzania Je, umepoteza kitu nyumbani kwako? Fanya hivi ili kukipata..

    2. "Iweke glasi kwenye kona ya meza" Kama nina meza ya duara nitaipataje kona ya meza? au zoezi linakuwa limefeli.
  4. torvic

    JamiiForums Tanzania Bichwa Komwe, Black and Beautiful; The Epitome of Beauty

    Nyie wa sura ya baba ndio mnajua kulombana...
  5. torvic

    JamiiForums Tanzania Hodi humu

    gunner unafosi sana, juzi tu uliomba msamaha kwa seran kuacha ushamba wako lakini bado unaendeleza ushamba
  6. torvic

    JamiiForums Tanzania Hakuna El Nino, ni mastory ti!

    Mjini mipango!
  7. torvic

    JamiiForums Tanzania Kumeibuka wimbi la wadada wa Instagram kuwa na mafanikio ya haraka hii imesababishwa na nini?

    mkuu ashakumu sio matusi, ungekuwa na kumaz alafu uifanye rented ndio ungejua million 50 inakujaje kujaje
  8. torvic

    JamiiForums Tanzania Kumeibuka wimbi la wadada wa Instagram kuwa na mafanikio ya haraka hii imesababishwa na nini?

    Bhaaasi! kuna nini tena? kuna nini tena?
  9. torvic

    JamiiForums Tanzania Exclusive JF, Pascal Mayala na mawakili wasomi wenzanko mna uthubutu huu?

    sijaelewa vyema kigreza, lakini nadhani mayalla akiongeza uzalendo kidogo anaweza.
  10. torvic

    JamiiForums Tanzania Ni nani unayemsubiri aje kubadilisha maisha yako?”

    Kwa wale wafia dini wanamsubiri Allah na Jesus wafanye kwa wakati wake... Wakati ambao hautakuja kufika
  11. torvic

    JamiiForums Tanzania Kabla sijaenda kufanyiwa Operation Jumatatu nina ujumbe kwa waJF kadhaa

    Acha uoga wewe, kafanye operation salama, urudi hapa kijiweni tuzogoe.
  12. torvic

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wamenenepeana vibaya sana hadi huruma

    Inasikitisha, Kunywa konyagi iliyowekwa ndimu kwa wingi.
  13. torvic

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wamenenepeana vibaya sana hadi huruma

    kuna intavyuu! ya picha. piga picha dushelele lako umtumie, ukipass hapo unalipata hilo
  14. torvic

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wamenenepeana vibaya sana hadi huruma

    umejionaje ?
Back
Top Bottom