Recent content by Torito

  1. T

    Hii hali inaniumiza sana

    Njia Nzuri mnapo anza mahusiano lazima muwe na msingi wa mahusiano yenu nini unataka na nini hautaki Kama mwanaume, ukweli usiofichika chick akikuchiti ukagundua hakika itakutesa, kutesa kweli, nature ya mwanaume hapendi kuchitiwa ama kufokewa ama kukaripiwa na chick, tell her how u feel since...
  2. T

    Nashauri Mawaziri, RC DC na DED wapelekwe Semina Elekezi kama enzi za JK. Fikiria wakati tunazungumzia Utekaji DC anadai Kuna Kitu alifanya Maporini!

    Ngozi iliyokauka ukiimwagia maji ukiipiga inatoboka, vile vile kadhri binadamu umri unavyoongezeka Kuna vitu huwa havisahau ikiwa ametenda ubaya ama Jambo baya kumbukumbu huwa zinamsumbua hususani anapoelekea uzeeni huwa Hali hii yakuzungumza inajitokezaa Ili kupata Amani ama hauweni akizeeka...
  3. T

    Nilikuwa na mahusiano na mfanyakazi mwenzake, kajua naona kabadilika

    Moja ya Jambo ambalo unapaswa kulifanya ni kutafuta mtu wako utulie upange naye maisha (tulia) huku mara kule kutakupa msongo wa mawazo az time goin nw DayZ mwishowe utarudi nyumbani kwa wazazi, ukiwa na stress za kutosha, kumbuka uzuri huwa unaisha, wale waliokuwa wanakutafuta hawatakuwa...
  4. T

    Livingstone Lusinde aibu hii utaiweka wapi?

    Kikazi hiki hadanganywii mtu tenaa maamuzii tunayo sisi rai tuu
Back
Top Bottom