Recent content by Torero

  1. Torero

    Tundu Lissu alipopigwa risasi nyingi Dodoma, wengi walikaa kimya

    Naandika kwa mshangao sana, kwamba Tundu Lisu Alipopigwa risasi nyingi area D Dodoma. Kina Shivji, Kardinal Pengo, Maaskofu na mashekhe wetu mbali mbali hawakuthubutu kuinua midomo yao kwa kusema walau katiba inavunjwa kwa ile haki ya msingi ya kuishi badala yake. Walikaa kimya na wakati huo...
  2. Torero

    Tuliovunjiwa nyumba Kimara tunaomba kulipwa fidia

    Rais, kwa upole wako na huruma kwa Watanzania na upendo ulionao kwao naomba kwa heshima kubwa uwafikirie kuwalipa fidia wale wote walioathirika na bomoa bomoa ya majumba yao kwa ajili ya utanuzi WA barabara yaliyotokea enzi zile maeneo ya Kimara, Ubungo na kadhalika. Wengi waliathirika na...
  3. Torero

    UTEUZI: Rais Samia ateua Katibu wa Rais, Mnikulu na wasaidizi wake wa Uchumi, Sheria, Siasa, Diplomasia n.k

    HAINA SHIDA HIYO IKO SAWA. YAANI UTEUZI WAO ULIANZIA TAREHE HIYO ILA KUTANGANGAZWA WAMETANGAZWA LEO. IKO SAWA TU YAWEZEKANA KABISA MTU AKATEULIWA SIKU ZA NYUMA NA AKAANZA KAZI RASMI TAREHE HIYO ISIPOKUWA UMMA UKAJUULISHWA BAADAE
  4. Torero

    UTEUZI: Rais Samia ateua Katibu wa Rais, Mnikulu na wasaidizi wake wa Uchumi, Sheria, Siasa, Diplomasia n.k

    HAINA SHIDA HIYO IKO SAWA. YAANI UTEUZI WAO ULIANZIA TAREHE HIYO ILA KUTANGANGAZWA WAMETANGAZWA LEO. IKO SAWA TU YAWEZEKANA KABISA MTU AKATEULIWA SIKU ZA NYUMA NA AKAANZA KAZI RASMI TAREHE HIYO ISIPOKUWA UMMA UKAJUULISHWA BAADAE
  5. Torero

    Katiba sasa ibadilishwe Zanzibar kuondosha ukomo wa muda wa Urais

    Ndugu, wakati umefika Sasa wa Kubadilisha katiba ya Zanzibar Kuondosha ukomo wa Urais kwa upande wa Zanzibar. Nashauri Rais aliyopo Sasa aendelee kuingoza Zanzibar hata kipindi chake Cha miaka kumi ikiisha Kwa uwezo wa Mungu. Sote tunashuhudia siku chake tu amefanya Mambo makubwa sana. Na hii...
  6. Torero

    Mradi wa bandari ya Bagamoyo urejeshwe haraka sana

    MFANO UNA NYUMBA LA MITI NA UDONGO PALE KARIAKOO LINAKARIBIA KUANGUKA KABISA! HALIKUINGIZII KIPATO CHOCHOTE YAANI JUMBA LIPO LIPO TU KAMA PAGALE NA UWEZO WA KUJENGA HUNA NA WALA HAUTEGEMEI KUPATA UWEZO. THEN ANAKUJA MHINDI AU MWARABU ANAKWAMBIA TUFANYE MKATABA WA NYUMBA YAKO HII TUNAIJENGA...
  7. Torero

    Rais Dkt. Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi SADC

    KUNA HAJA KUBWA SANA WATANZANIA KUELIMISHWA KUHUU MUUNGANO SIKUTARAJIA HATA KIDOGO KWAMBA KUNA WATU WATASHANGAA RAIS WA ZANZIBAR KUMUWAKILISHA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. YAONESHA WAZI WATANZANIA WENGI HAWAELEWI KUHUSU MUUNGANO!!! HIVI LEO BAADHI YA WATU TENA WENGINE NI WASOMI...
  8. Torero

    Mradi wa bandari ya Bagamoyo urejeshwe haraka sana

    ANGALIA NA FAIDA NYENGINEZO! HAKUNA LISILOZUNGUMZIKA NDUGU.
  9. Torero

    Mradi wa bandari ya Bagamoyo urejeshwe haraka sana

    Wandugu, sasa ni muda muafaka wa kurejesha ule mradi wetu mkubwa wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa maslahi mapana ya kiuchumi na kwa faida za kichumi. Yafanyike maandalizi mapema na washirika wote wakae katika mazungumzo ili hatimae mradi uanze kazi mara moja. Ikumbukwe mradi huu...
  10. Torero

    Mama Samia ameingia kwenye mtego wa wafanyabiashara kubembelezwa kulipa kodi, tumekwisha!

    ACHA KUANDIKA UJINGA WEWE! SAMIA NDIO LAISI MTAKE MSITAKE !
  11. Torero

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Hapana! Ni maoni tu (opinion), na huo ndio ubinaadam. Huyu kasem hiki, yule kasema kile, mwengine asema hivi. Different ideas!!
  12. Torero

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Nakuhakikishia Safari yako itakuwa ni nyepesi sana endapo utayafanya haya Mambo MANNE (4), MH: MADAM kwa haraka ikiwezekana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja na NYOTA yako itazidi kung'ara (1) MPE AMRI DPP AFUTE KESI YA MASHEKH WA UAMSHO ILIYODUMU ZAIDI YA MIAKA MINANE BILA USHAHIDI KUKAMILIKA...
  13. Torero

    Natabiri Rais wa Zanzibar 2020 ni Samia Suluhu Hassan

    NI.KAWAIDA YA NDOTO SOME TIME YAWEZA KUWA KINYUME CHAKE
Back
Top Bottom