Mixer za Zege Kutoka France

Mixer za Zege Kutoka France

Torero

Senior Member
Joined
Dec 22, 2017
Posts
122
Reaction score
138
Mixer zinauzwa Used Kutoka Ufaransa Hazijatumika Tanzania. Bei Milioni Tatu Na Laki Sits (3,600,000) moja Zipo Mbili kwa Sasa.
IMG_20171222_155415.jpg
IMG_20171222_155357.jpg
IMG_20171222_155351.jpg
 
asiyekuwa na whatsapp atumie njia gani ya kuwasiliana nawe?
 
asiyekuwa na whatsapp atumie njia gani ya kuwasiliana nawe?
 
asiyekuwa na whatsapp atumie njia gani ya kuwasiliana nawe?
 
Namba ya kubipigia ni hii 0625968933
 
Unaposema hazijatumika una maana gani?
Yaani Hazijatumika Tanzania. Zimetumika Ufaransa. Hata gari inayotumika Tanzania Miaka 10 kilometers 100,000 na gari iliyotumika Japan miaka 10 kilometres 100,000 ni tafauti kabisa.
 
hz mbn kuukuu cyo tu used
Jamani kiswahili mbona rahisi sana .Hazijatumika Tanzania. Zimetumika Ufaransa . Ngoja nitumie Kimombo kama kiswahili sieleweki. " The two Used Con greet Mixers have not been used in Tanzania.
 
Yaani Hazijatumika Tanzania. Zimetumika Ufaransa. Hata gari inayotumika Tanzania Miaka 10 kilometers 100,000 na gari iliyotumika Japan miaka 10 kilometres 100,000 ni tafauti kabisa.
Kwa hiyo kutokutumika Tanzania sio used?
 
Kwa hiyo kutokutumika Tanzania sio used?
Tuwasiliane kwa maelezo zaidi. Hilo ni tangazo dogo huwezi kueleza kila kitu . tangazo hawaga na kanuni zake. Nitafute kwa maelezo zaidi kwa simu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom