Recent content by tophertofali

  1. tophertofali

    Nitapata wapi aquarium ya kufugia samaki

    Habari gani wakubwa. Nataka kufahamu ni sehemu gani Dar wanafanya biashara za kuuza Aquariums na samaki wa urembo.
  2. tophertofali

    Nahitaji msaada wa haraka

    Habari zenu binafsi wakuu. Nimepoteza leseni leo jioni na nataka kwenda kufuatilia leseni nyingine kesho. nahitaji kujua process ya kufata na vitu muhimu nnavyotakiwa kuwa navyo.
  3. tophertofali

    CRDB na bodi ya mikopo

    dogo its better ukafungua akaunt mapema tena CRDB ili mkianza kushughulikia hiyo mambo usipate tena usumbufu badae
  4. tophertofali

    Kumpiga picha za uchi/video "mchumba wako" ni sahihi?

    yani wanaopigana picha za uchi hawana tofauti na wacheza porno..labda tu za kwao zinaonwa na watu wachache
Back
Top Bottom