Leo nimemkumbuka Likinga Redo, hakika ni mwimbaji mzuri hasa ukizingatia sauti yake ya pekee. Pata kusikiliza album ya 4 Etoiles unayojulikana kama 4Etoiles au Souffrance. Hakika yeye na Carlyto Lassa waliitendea haki, ikumbukwe Likinga na Lassa walikuwa Guest vocalist katika album hii.
Lina maana moja. Gitaa kuu /gitaa ongozi.
Aina ya magitaa yanayotumika hasa katika soukouss scene ni solo / lead, rhythm na bass.
Wanapotumika wapigaji solo wawili kwa pamoja, yule anayepiga sehemu kubwa tunasema lead guitarist mwingine atapiga mi-solo.
Wakati muziki wa rhumba / soukous Congo unapitia mabadiliko mengi ya vionjo, moja ya vitu vilivyonogesha ni kionjo cha kurap ambacho kiliongezwa haswa wakati nyimbo ilipokuwa inakaribia kuisha.
Mwimbaji husika alitambulika kama animator / atalaku. Mnano miaka ya 1980’s mwashoni mtindo huu...
Hapana kwenye hii album rhythm guitar alipiga Mimi Kazidona ( nyimbo zote sita).
Nene alicheza solo kwenye Isambe, Frere Soki na Yesu Christo.
Wakati Dally alicheza solo kwenye Monie, Kadhi na Wallow.
Ukitaka kumfaidi vzr Tchakou tafuta tena Album za Ngouma Lokito. Amour, Leddy na Talisman.
Huku kwenye kughani mashairi utamskia Code Niawu.
Album ya Amour ndiyo hasa imenifanya nimtazame Tchakou kwa angle nyingine kwani alipangilia kila kitu kikanyooka.
Best atalaku/ rapa kwenye congoless music ni kati ya watu watano walioshirikishwa kwenye project nyingi: Dally Kimoko, Lokassa ya [emoji385], Ngouma Lokito, Mavungu Malanda na 3615 Code Niawu.
Huku kwenye waimbaji anashikiria Luciana Demingongo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.