Yule mbunge wa ngorongoro na ole, kwambalitea ndugu zao? Basi nini maana ya kuchaguliwa mbunge ili mfanye pamoja na wapigakura? Tunakaa kimya Kwa sasa, baadae Iko jirani kabisa
Tuliwacheka majirani, halafu dk 10 baadae nikaona na sisi tutachekwa, aliyechekwa kwanza na aliyechekwa mwisho. Unatoaje advance ya ahadi kwenye football, ngoja tuone majirani wengine sikumbuki kama walitoa ahadi in advance, majirani na sisi uchafuzi unatitia aibu
Eti kweli kwamba wakuu wachache wa mipaka wamepewa magari mazuri yake ili wakae kimya, naota tu, Kuna waotaji wengi zaidi yangu, wanatoa kweli kweli Sasa hivi
Duuh, watoto ni watoto tu, tarehe 8 wasijekukimbia na mpira, watu wa zamani watakuwa na kumbukumbu Kipa wao alivokimbia na mpira dk45, timu ya hovyo na inatia aibu taifa
Watoto wa 2000 poleni, hizi thread mnazutumwa kuzipakia upya humu kweli basi hamumjui marehemu Mtikila vizuri. Muulizeni Mzee Giafar Beda wa Badr East Africa kwamba marehemu Mtikila alikuwa anaenda kufanya nn kwenye ofisi yake pale alhamza na Kwa alikuwa akiwaita magabacholi kipindi kile
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.