Recent content by tonito120

  1. T

    JamiiForums Tanzania Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

    Very useful thread...naunga mkono hoja ya kuwekewa mchanganuo wa gharama kwa ufupi kwa kila eneo litakalowekwa hapa(kama itawezekana)....nice work. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    JamiiForums Tanzania CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kifungu cha 144 kuhusu kumuondoa CAG madarakani 144.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengine yaliyomo katika ibara hii, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Jamhuri ya Muungano atalazimika kuacha kazi yake atakapotimiza umri wa miaka sitini au umri...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Je, utapeli unaoendelea kwenye yard za kuuzia magari, wamiliki wanashirikiana na matapeli? Polisi nao je?

    Hawa wangejua namna hii hela imeota miguu basi wangetuonea huruma.....mimi nilinunua gari baada ya kuliona mtandaoni....ila bahati ni kwamba lilikua linamilikiwa na familia nzito hapa mjini...so nikaenda direct nyumbani kwao Masaki...ila wizi ni mwingi mno....wataalam wanakunusa tu..kama wana...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gari yangu aina ya Nissan Dualis imeshindwa kuwaka

    The red power steering light simply appears as the letters PS. As you might expect, when this light turns on, it indicates a problem with your power steering system.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya City vs Dodoma City: Mpambano wa majiji yanayochipukia

    Ki nadharia unaweza ukasema hivyo ila ili tuweze kuwa na majibu sahihi basi wataalamu wa makazi wangetia neno humu. Mi ninachojua UN-HABITAT(2012) wali introduce a new tool ili kuweza kupima maendeleo/ushamiri wa jiji ikiitwa CPI(City Prosperity Index). Hii tool ina parameter 5 zifuatazo; i)...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya City vs Dodoma City: Mpambano wa majiji yanayochipukia

    Kimsingi Dodoma Jiji si ya kukinganisha tena na Mbeya....ukweli mchungu...Dom inapaa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya City vs Dodoma City: Mpambano wa majiji yanayochipukia

    Angalia mapato kwa mikoa hii kiujumla
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya City vs Dodoma City: Mpambano wa majiji yanayochipukia

    DODOMA Idadi ya Wilaya = 7 Number of Universities = 2 Ukubwa wa eneo = 41,311 Km za Mraba Population = 2,083,588 Secondary Schools = 220 Primary Schools = 757 Hospitals = 8 Health Center = 41 Dispensaries = 316 MBEYA: Idadi ya Watu = 1,883,024 Kilomita za Mraba = 35,954 Wilaya = 5 Halmashauri...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri na tiba: Kifua kinabana sana wakati wa kulala

    MNH, Regency etc
  10. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri na tiba: Kifua kinabana sana wakati wa kulala

    Dalili zinashabihiana sana na REFLUX LARYNGITS (Laryngealpharyngeal reflux disease). Ugonjwa huu hasa husababishwa na reflux (backflow) ya gastric content (GERD) specifically Pepsin. Husababishwa na some weakness za milango ya juu na chini ya njia ya chakula (Esophugus) ikianzia kinywani hadi...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Sakata la Musiba: Makamba, Kinana waibuka. Waandika waraka mzito Baraza la Wazee Wastaafu CCM

    Wapenzi watazamaji tupo makini!
Back
Top Bottom