Recent content by tonicimmobility

  1. tonicimmobility

    Ungepewa nafasi ukutane na mtu mmoja kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani?

    Nasoma Comment! Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
  2. tonicimmobility

    Nafanyaje kumsaidia mdogo wangu kukabiliana na mabadiliko ya ukuaji wake kimwili?

    Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu Nina mdogo wangu alienifuata jinsia (kiume) umri (16) anakabiliwa na madadiliko ya ukuaji kimwili, miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kubadilika kwa sauti yake. Siku za hivi karibuni sauti yake imekua kubwa sana na nzito, hali inawafanya marafiki na...
  3. tonicimmobility

    Fursa za BBT zimerejeshwa, wizara yaanza na wahitimu wa MoCU

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Stephen Nindi amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kutumia ipasavyo elimu na ujuzi walioupata katika kuchangia maendeleo ya Sekta ya Kilimo na uchumi wa nchi kupitia programu ya vijana ya Building a Better Tomorrow (BBT). Dkt...
  4. tonicimmobility

    PostGE2025 Jenista Mhagama kuzikwa Desemba 16, Ruanda - Mbinga

    Ratiba rasmi ya mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama, imetangazwa, ikionyesha utaratibu wa maombolezo na ibada zitakazofanyika kuanzia Desemba 12 hadi Desemba 16, 2025. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Bunge la Tanzania, maombolezo yameanza leo...
  5. tonicimmobility

    DAWASA yaanza fufua visima kupunguza nakisi ya maji Dar es salaam

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza kufufua na kuhuisha visima virefu vya maji ili kupunguza nakisi ya maji ndani ya mkoa wa Dar es Salaam na mikoa jirani. Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire ameyasema hayo siku Ijumaa Desemba 12, 2025 katika...
  6. tonicimmobility

    PostGE2025 DCP Misime: Hadi sasa hali kiusalama nchini kwetu iko shwari

    Leo Disemba 12, 2025 Jeshi la Polisi limetoa taarifa baada ya saa 24 kupita toka tulipotoa taarifa ya mwisho asubuhi ya tarehe 11.12.2025 juu ya hali ya usalama nchini. Akitoa taarifa hiyo Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Misime amesema "Tungependa kuwajulisha kuwa, kwa ushirikiano wa...
  7. tonicimmobility

    Dodoma: Madereva watano wa bodaboda wamefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na lori lililofeli breki eneo la Makulu

    Watu watano ambao ni madereva bodaboda wamefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na lori lililofeli breki eneo la Dodoma Makulu jijini Dodoma usiku wa kuamkia leo. Lori lilikuwa linatokea kwenye barabara inayotokea Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) ambapo lilifeli breki na kwenda kuparamia Kijiwe...
  8. tonicimmobility

    KERO Hii ni Dar na hawa ni wananchi wa Ubungo wakichota maji katika chemchem ya mto Gide

    Hii ni 2025 na hili ni jiji namba moja Tanzania ambalo tunajivunia ila wananchi wake bado wanatumia maji ya chemi Chemi, yaani mwaka 2025 bado tupo primitive stage na hapa ni jijini Dar es salaam, sasa mikoa jirani hali ikoje. _________ Wakazi wa Ubungo Riverside Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa...
  9. tonicimmobility

    PostGE2025 Hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea Fr Dkt. Kitima jana, na Msigwa anasema kuna Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Tanzania bwana, viongozi kila siku wanaimba nchi yetu kuna uhuruwa vyombo vya habari na hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea fr Dkt. Kitima jana na Msigwa kila siku anakesha kusema Tanzania kuna Uhuru wa Vyombo vya Habari, uhuru gani sasa huo? Siku mkija kukiri kuwa uongozi...
  10. tonicimmobility

    PostGE2025 Prof. Kitila: Tunataka uwekezaji unaojibu shida za Watanzania hasa vijana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 imebainisha vigezo vitano muhimu vitakavyotumika katika kuchagua sekta za kimageuzi, hasa kwa ajili ya kuchochea kipato na kuongeza ajira kwa vijana, akisisitiza kuwa utekelezaji wa...
  11. tonicimmobility

    PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za Sheli za 'Lake Oil'. Wenye ushahidi waitwa

    RIDHIWANI ataka kupelelezwa kumiliki LAKE OIL, ataka kuitwa kuhojiwa mbele ya kamati
  12. tonicimmobility

    PostGE2025 Prof. Kitila: Serikali yatangaza mikakati 8 ya kupanua ajira kwa vijana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo ametangaza mikakati mahsusi nane ya Serikali katika kuvutia uwekezaji na kupanua fursa za ajira kwa vijana nchini. Mikakati hiyo imetangazwa leo, Novemba 28, 2025 mkoani Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya...
  13. tonicimmobility

    PostGE2025 Prof. Mkumbo: Dira 2050 ina matarajio ya kupunguza udhibiti wa biashara

    "Dira 2050 imeweka matarajio mahsusi pia: kuwa na sera, sheria na kanuni wezeshi zinazopunguza udhibiti uliokithiri na zinazochochea ukuaji wa biashara za ndani pamoja na kuvutia uwekezaji wa ndani na nje; kuwa na mfumo imara wa kidijitali unaoendeleza biashara zinazochipukia kupitia sera...
  14. tonicimmobility

    Ajali ya moto China: 128 wafariki dunia, 200 hawafahamiki walipo

    Moto mkubwa uliotokea katika makazi ya Wang Fuk Court eneo la Tai Po, Hong Kong, usiku wa kuamkia Novemba 26, 2025 umeua watu 128, akiwemo Afisa mmoja wa Zimamoto, huku zaidi ya watu 200 wakiwa bado hawajulikani walipo. Zaidi ya watu 79 wamejeruhiwa, na juhudi za uokoaji zinaendelea huku miili...
Back
Top Bottom