Recent content by Tonic water

  1. T

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ukweli ndege zinazonunuliwa ni mitumba wanafanya marekebisho na kuuziwa kwa bei ya mpya

    Bora kuwa na ndege hata kama ni mitumba kuliko kuikosa
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Kusoma Private school ni dhambi hapa Bongo na adhabu yako unanyimwa mkopo hii ndiyo nchi inayoongozwa na wasomi wakiwemo maprof .
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nimeupenda ujumbe wa Khamisi Kagasheki kwa Zitto, Maria Sarungi na Evarist Chahali

    Tunanyoosha nchi kwanza demokrasia baadaye
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya Watanzania wa Mwanza na Watanzania wa Dar, Kimara?

    Waambie huko kimara wawe wanampigia kura hata wakijenga katikati ya barabara watalindwa vinginevyo kama wanampigia kura kichwa nyeupe watavunjiwa tu.
  5. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamlima barua Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji F. Mtungi

    Hicho kinachoitwa HOJA kwa upande wa pili hakunaga wao wanawahi kwenye panga usiku au risasi
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mabankers Tusaidieni: Je, Commissioner General wa TRA ana Mamlaka ya Disclosure Details za Account ya mtu?

    Kumbe mkurugenzi huyu hana sifa ya kuwa mkurugenzi mkuu hajui hata maadili ya kazi yake
  7. T

    JamiiForums Tanzania Siku za Hussein Bashe ndani ya CCM zinahesabika!

    Waliozoea kukaa na uchafu daima wanachukia wale wanaotaka kuusafisha shame on you mleta uzi
  8. T

    JamiiForums Tanzania Peter Lijuakali: Ilitakiwa kuuliwa mimi walivyonikosa wakamwendea Diwani aliyewashinda kesi nyingi nami niko njiani

    Aibu tupu hii ndiyo tatizo la watu vilaza wakishindwa hoja wanatumia mapanga.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Christian Bwaya aachiwa baada kushikiliwa na Polisi kwa amri kutoka juu

    Mkubwa hata akinuka mavi usimwambie unanuka mavi mwambie pafyumu yako inanukia vizuri
  10. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya China yamzawadia prof Muhongo nafasi 22 za udhamini kila mwaka

    Zamu ya mkoa wa Mara kutoa rais wa nchi ilishapita na awamu ya kwanza hiyo sahau
  11. T

    JamiiForums Tanzania Trend ya tuhuma dhidi ya vyombo vya ulinzi na usalama!

    Nifungueni akili hivi hao ndio wanahusika na kumtishia bastola waziri Nape Nnauye? Je wanahusika na kumpiga risasi 32 mhe Tundu Lisu? Je huku ndiyo usalama?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Wilbrod Peter Slaa unaendelea kujiaibisha na kujidharaulisha kwa kusema uongo

    Umeongea mengi lakini ya upande moja,imagine! Chukulia wewe ndiyo Dkt Slaa kwa miaka yote tangu 1995 Hadi 2015 amesota kuzunguka nchi nzima kuijenga CDM na kuahidiwa kugombea urais kupitia UKWA ghafla ikatokea kubadili gia angani na nafasi hiyo kapewa Lowasa ambaye mpaka ameshindwa huko ccm...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mbona Viongozi wa Dini mkoa wa Dar wamekaa kimya wakati Mwenyekiti wao Sheikh Salum anashambuliwa mitandaoni?

    Tutawashangaa kama wataongea mambo ya mtandaoni, wakati Walikaa kimya mbunge alipopigwa risasi 32 hadharani waliona kawaida
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wakili wa kujitegemea, Awadh A. Said Zanzibar atoa ufafanuzi wa kauli ya Prof Kabudi kuhusu mamlaka ya JMT kwa Zanzibar

    Sema kama alichosema prof ni ukweli au siyo ukweli acheni ubabaishaji
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mbona Viongozi wa Dini mkoa wa Dar wamekaa kimya wakati Mwenyekiti wao Sheikh Salum anashambuliwa mitandaoni?

    Hakuwa na sababu yoyote ya kumtishia kifo huyo anayeitwa Mange,nijuavyo shekhe ni kiongozi mkubwa mwenye majukumu ya kuwahudumia watu wote kiroho na kugeuza watu wabaya kuwa watu wema waache mabaya watende mema wamkatae shetani wamrudie Mungu sasa hii ya shekhe ni ipi ya kuombea watu wafee?
Back
Top Bottom