Recent content by tomoko

  1. tomoko

    JamiiForums Tanzania Dawa ya vipele kwenye ngozi

    Pole sana kwa motto, nakushauri nenda hospitali ili kujua tatizo ni nini
  2. tomoko

    JamiiForums Tanzania Natafuta type letter machine

    Sio type letter ni type writer
  3. tomoko

    JamiiForums Tanzania Mtoto huyu ndio mshidi wa mashindano ya TMT kutoka Musoma

    Sishangai kushinda kwa huyo mtoto (hongera zake) kwasababu ndio mtoto pekee katika washindanaji wengine. Utaratibu wa kushindanisha haukuwa sahihi kutokana na kushindanisha mtoto na watu wazima. Ushauri wangu kwa TMK shindanisheni kwa kuzingatia rika, kama watoto basi washindane watoto kwa...
  4. tomoko

    JamiiForums Tanzania Ishawahi kukukuta hii?

    lakini hata kwa mdada pia kumetuna
  5. tomoko

    JamiiForums Tanzania Boyfriend wangu nampenda ila tabia zake zinanikera

    inaelekea ndio mnaanza mapenzi, mna muda gani ktk uchumba wenu?, lakini ndio mwanzo usikereke endelea kumuonyesha vitu ambavyo huvipendi maana ndio hatua za kujuana huko
  6. tomoko

    JamiiForums Tanzania Abiria wote ndani ya basi walicheka !!!!

    Ni stori yenye mafundisho kwa pande zote mbili lakini pia hata kwa wenye mabasi. nakumbuka scandinavia enzi hizo alikuwa anatoa mifuko ya rambo kwa wasafiri hususan wale ambao huwa wanatapika wawapo safarini hivyo hii stori inawafundisha na wenye mabasi kuwa na utaratibu huo halikadhalika na...
  7. tomoko

    JamiiForums Tanzania Karatu: Watu sita wafariki Dunia baada ya kuangukiwa na machimbo ya Kokoto (Moram)

    yale yale, sijui tutajifunza lini?
  8. tomoko

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya mkoani Singida: Watu kumi na tatu wafa papo hapo

    ni sehemu ya maisha yetu
  9. tomoko

    JamiiForums Tanzania Nani Anaijua hii? Iko wapi?

    Huwa binafsi sionagi maana ya hii sanamu sijui walifikiria nini, mimi ningesuggest wangeweka mgomba wa ndizi au mkungu wa ndizi kuashiria alama fulani katika mkoa kama walivyofanya mwanza kuweka sanamu ya samaki
  10. tomoko

    JamiiForums Tanzania Maskini mpiga ngoma wa watu!!

    wewe unamhurumia mpiga ngoma, wahurumie watoto, wanapata mafundisho gani hapo?
  11. tomoko

    JamiiForums Tanzania Samaki arukia sehemu za siri

    labda aliivua ili akojoe kwenye maji ndio maana alichuchumaa kuchota maji
  12. tomoko

    JamiiForums Tanzania Mangi kaharibu mahali,collectively responsibility inahusika na hapa??

    hata mimi, kuanzia title hadi contents
  13. tomoko

    JamiiForums Tanzania madem cheapness imezidi; kuweni na utu kidogo bana

    according to english dictionary, dame (demu) means a woman
  14. tomoko

    JamiiForums Tanzania Breaking news: Lorry laua wawili manzese agentina muda huu

    RIP watoto ingawa hawakustahili kufa kutokana na ajali kutokana na ajali yenyewe inazuilika endapo kama mamlaka au mmiliki wangekuwa wanajali uhai wa binadamu
  15. tomoko

    JamiiForums Tanzania Serikali ya China imeipa serikali ya Tanzania magari ya kifahari?

    kama ni msaada mimi sioni kama kuna tatizo, ila kama ni mkopo au tumeyanunua hapo ndio kuna tatizo
Back
Top Bottom