Recent content by tomboya

  1. T

    JamiiForums Tanzania Vurugu iringa mjini

    mungu na wanadamu poleni sana jamani,jana ilikuwa ubungo
  2. T

    JamiiForums Tanzania Vurugu iringa mjini

    Kaniambia mjomba wangu,ila cm ilikatika na hapatikani tena,mabomu ya machozi yalikuwa yakipigwa
  3. T

    JamiiForums Tanzania Vurugu iringa mjini

    Mwana jamii,mwenye habari kamili atujuze,maeneo ya hapo ipogolo,aliyenipa taarifa cm inawezekana imezima charge.kabla ya kumalizia akapotea hewani
  4. T

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mtoto aliyenusurika na ajali ya Majinja, Changarawe Mufindi

    Waacheni watoto wadogo waje kwangu,maana ufalume wa mbinguni ni wao,
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kuwasha taa za gari 'full light' mijini ni ushamba au kutoelewa?

    NDIVYO ALIVYO FUNDISHWA,GARI ZIPO KWENYE FOLENI NA AMESIMAA LAKINI KAWASHA TAA Full light,
  6. T

    JamiiForums Tanzania Madereva wa bodaboda

    Serikali fuatiliyeni haya,kuna baadhi za pikipiki zinatoa mlio kama wabunduki anapo achia mafuta,hii ni hatari huwezi kujua ni bunduki au pikipiki,na imekua ni fasheni sasa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ufisadi Iramba Kiomboi, mamilioni yatumika kunyamazisha Madiwani

    Hawa ndio mchwa wa chama chetu bhana,
  8. T

    JamiiForums Tanzania Siku ya mwanamke duniani

    Dakika tisini ndio mwamuzi wa nani atumie siku hii leo,
  9. T

    JamiiForums Tanzania TCRA tusaidieni hili

    SMS za Simutv kwenye mtandao zinatumalizia charge, kwa siku utakuta unatumiwa zaidi ya SMS zaidi sita au nane, na ni kila siku!
  10. T

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi avuliwa nguo na kuachwa mtupu Singida, wanne Mbaroni

    Hiyo picha haifai hata kidogo,kuangaliwa na mtanzania mwenye akili vizuri,inatia huruma bhana,
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mimi nadumisha mila

    Ila watoto watatu wapo ziwani wanavua,mikoani ucseme
  12. T

    JamiiForums Tanzania Road Safety: Stika za Nenda kwa Usalama ni wizi, tuungane kuupinga

    Haya kwa wengine ni majungu,ukitaka usimbuliwe nunua stk,
  13. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    vyombo vya habari vimesema marehemu komba,ameacha mjane mmoja na watoto 11,je wote ni mama mmoja?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Kibasila aishi na kinyesi chumbani kwake kwa miaka miwili

    Inawezekana alikuwa anafanya utafiti,mmemharibia utafiti wake
Back
Top Bottom