Japo upendo ni bora kuliko kila kitu ila pesa inaweza kuvunja kila kitu.
Nakumbuka hata mkoani nakotoka pesa inaweza kukufanya ukawa kama mungu mtu, kila mtu unaweza kumtuma na kumkoromea. Ukiwa na pesa makosa yako kwa wazazi watapewa wengine, iwe ni wadogo zako au kaka zako,
ukiwa na pesa...
Mateso ya nyumba 1 huwezi kuhalalisha kwa mikoa miwili,huna ushahidi wa kutosha,hata Dar tu pekee wapo waajiri makatili lakini hatuwezi kusema ni mkoa mzima
Hata makampuni yakiwa na silaha bila mnunuzi zina faida gani?
Makampuni hayaendi kuzitumia kupigana,
Makampuni hayana wanajeshi wa kuzitumia bila mteja wao serikali.
Serikali haiendi mikono mitupu kuchukua silaha bila pesa. Kwa hiyo hoja yako imekufa rasmi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.