Ndugu zangu yaani we acha tu, unajua mkasa iko hivi kabla ya idea hiyo ya kuuza magodoro nilikuwa na idea zangu nzuri ninazozipenda mno ambazo ni,
1. Kuuza VIOO,GLASS & ALUMINUM
Ila sasa mkasa ni kwamba mwenye fremu hataki biashara zifuatazo katika nyumba yake, eti aidha itachafua nyumba...
Unajua kitu ambacho kimenifanya nije hapo japo KUPATA idea kwa wafanyabiashara wenzangu au wenye uzoefu pengine,ni kutokana na hiyo idea ya kuuza MAGODORO nilifanya research nikagundua kidogo minadani ndio watu wengi huchukua sana MINADANI katika eneo langu la kijijini kidogo ila katika maduka...
Wanajamvi nawasalimu nyote,nimeshachukua fremu tayari katika eneo ambalo lipo mkoani Manyara kiufupi,ni eneo ambalo lina watu wengi kiasi na biashara zilizopo katika eneo Hilo ni hizi zifuatazo.
1. Maduka ya jumla na rejareja 2.Wakala wa M-pesa n.k 3. Wauza mbogamboga 4. Seremala 5. Stationary...
Wanajamvi nawasalimu nyote, nimeshachukua fremu tayari katika eneo ambalo lipo mkoani Manyara, kiufupi,ni eneo ambalo lina watu wengi kiasi na biashara zilizopo katika eneo Hilo ni hizi zifuatazo:
1. Maduka ya jumla na rejareja
2. Wakala wa M-pesa n.k
3. Wauza mbogamboga
4. Seremala
5...
Ngojeni niende great thinkers nione watanishauri nini maana imekuwa balaa wadau sio jambo la mchezo yaani siku hizi mimi kuongea na madem kwangu ni shughuli yaani nimekuja kujifunza kuna wanawake wana wivu kinyama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.