Recent content by TOM CAT

  1. TOM CAT

    TBS inaendeshwa kwa majungu, tamaa ya vyeo na chuki binafsi zitawamaliza

    Kaeni mkao wa kula hao wakurugenzi wengi ni majipu hatari sana, kama serikali ikitaka kutenda haki basi ipangue safu yote iundwe upya. Bila kufanya hivyo majungu hayataisha hapa viungani
  2. TOM CAT

    Siku Rais Magufuli alipokuwa MC wa Dr. Dau

    Unajua kua kimenuka huko?
  3. TOM CAT

    TBS inaendeshwa kwa majungu, tamaa ya vyeo na chuki binafsi zitawamaliza

    Hii ni fact sio jungu subiri na sisi tuanze kushusha data uone kama kuna atakaepona
  4. TOM CAT

    TBS inaendeshwa kwa majungu, tamaa ya vyeo na chuki binafsi zitawamaliza

    Nimekua nikifuatilia muendendo wa utendaji TBS tokea aondoke yule mzee jeuri Ekelege na nikaridhishwa sana na jinsi TBS ilivyokua ikiendeshwa bila kelele . Kabla ya hapo kila siku tulisikia madudu kila kona ndani ya TBS mpaka pale alipoondolewa Ekelege Sasa kaondoka Ekelege, wafuasi wake...
  5. TOM CAT

    Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

    Mpaka saa hizi hakuna picha tu??? Mimi siamini mpaka nimuone akiwa lupango bila mkorogo ...
  6. TOM CAT

    Tetesi: Dr Wilbrod Peter Slaa Kupeperusha Bendera Ya UKAWA!

    All the best, lakini hautakua Rais
  7. TOM CAT

    CCM ikimpitisha Lowassa itakuwa imehalalisha rushwa na kuidhalilisha Tanzania

    Kati ya waliorudisha fomu kuna wasafi wengi tu Tukiuza nchi tutajuta kuzaliwa
  8. TOM CAT

    CCM ikimpitisha Lowassa itakuwa imehalalisha rushwa na kuidhalilisha Tanzania

    Kesho kama CCM wakimpitisha Lowassa basi watakua wamehalalisha rushwa na kuthibitisha kua kama unataka chochote nchini iwe huduma za serikali, haki au hata nafasi yoyoite ya nchi kama una hela inawezekana bila tatizo. bora tu ujipange na ujue unamhonga nani. Kila mtu ananunulika tofauti ni bei...
  9. TOM CAT

    Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary: Lowassa hafanani na Mtume Muhammad, Madabida awajibishwe

    Yaani siamini macho yangu Huyu madabida ameisha ua ndugu zetu kibao kwa kuwauzia vidonge feki huku akifurahia mihela wao wakifa. Leo anajua Lowasa akiwa Rais kesi yake itafutwa hivyo anamfananisha na mtume wetu kipindi hiki cha mfungo? Kweli hela ina nguvu, yaani na sisi waislamu tunaamini...
  10. TOM CAT

    Lowasa amefanya nini kwa wanaMonduli?

  11. TOM CAT

  12. TOM CAT

    Edward Lowassa special thread

    Yaani siamini macho yangu Huyu madabida ameisha ua ndugu zetu kibao kwa kuwauzia vidonge feki huku akifurahia mihela wao wakifa. Leo anajua Lowasa akiwa Rais kesi yake itafutwa hivyo anamfananisha na mtume wetu kipindi hiki cha mfungo? Kweli hela ina nguvu, yaani na sisi waislamu tunaamini...
  13. TOM CAT

    Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary: Lowassa hafanani na Mtume Muhammad, Madabida awajibishwe

    Yaani siamini macho yangu Huyu madabida ameisha ua ndugu zetu kibao kwa kuwauzia vidonge feki huku akifurahia mihela wao wakifa. Leo anajua Lowasa akiwa Rais kesi yake itafutwa hivyo anamfananisha na mtume wetu kipindi hiki cha mfungo? Kweli hela ina nguvu, yaani na sisi waislamu tunaamini...
  14. TOM CAT

    Kwa mbinu hizi, Lowassa ni mafuriko yasiyozuilika kwa mikono!

Back
Top Bottom