Recent content by tol

  1. tol

    Kuepuka Double Standards ya Kodi, Nashauri Rais Uongezwe Mshahara, Ili Alipe Kodi, Wote Tulipe Kodi!

    Wewe unafahamu marupurupu (allowance) ya rais Sent using Jamii Forums mobile app
  2. tol

    Halima Mdee punguza ulaghai, unadanganyaje umma kuwa akaunti za benki za wabunge waliofungwa zilikuwa na kiwango chini ya Tsh. Milioni 1?

    Hatujawachangia Kwanzaa sababu hawana pesa za kulipa fine... Tumewachangia kwa sababu tumeona hiyo ni hukumu ya kidhalimu, chuki isiyo na chembe ya haki Wewe uliona wapi hukumu ya miezi 5 unatakiwa kulipa fine ya 70m Sent using Jamii Forums mobile app
  3. tol

    Tetesi Bulletin: Musiba agoma kuitikia wito wa Polisi kuhojiwa; Polisi wajiuma meno...

    Kwani kisheria ushamba maana yake ni nini kwako wewe ni tusi (nawe pia ni mshamba) ushamba ni kutoelewa baadhi ya mambo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. tol

    Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

    wakatanta, Tofautisha Siri za nchi na Siri za watawala Sent using Jamii Forums mobile app
  5. tol

    Baada ya ukweli wa Erick Kabendera kubainika, wote walionituhumu kuhusika nimewasamehe kwani Mungu amewasamehe. Msirudie tena!

    Mayala tuliambiwa umezaliwa wakati wa njaa pengine hiyo ndo inakufanya uwe mnafiki.. Unarukaruka kama mahindi ya binsi kikaangoni embu tuambie huo ukweli uliodhihirika ni upi Alafu ngoja tukukumbushe kitu uzalendo sio kutetea serikali uzalendo ni kuitetea nchi kwa maslahi ya Mustakabali wa nchi...
  6. tol

    Februari 25, 2020 rufani ya Lissu kupata kibali dhidi ya Spika kumvua ubunge

    Hata kama hawatakuwepo tutapeleka mavufu yao mahakamani Sent using Jamii Forums mobile app
  7. tol

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Katika zote ulizozitaja ipi iliyokamilika zaidi ya ukuta wa mererani ambao hata mtu binafsi anaweza kuujenga Aliyoyafanya kikwete 1. Sekondari za kata nchi nzima 2. chuo kikuu dodoma 3. Bomba la gas 4. Kinyerezi 5. Mabarabara ya lami 6. Hospital ya mlugazira 7. Daraja la kigamboni Maandalizi...
  8. tol

    Kuna tofauti yoyote ya tabia na hatima ya hawa wawili: Miguna Miguna wa Kenya na Tundu Lissu wa Tanzania?

    Alichukua uraia wa canada kabla ya shria ya dual citizen haijapitishwa ...ameshauriwa aombe upya kitu ambacho anakipinga Lakini juzi rais kenyata katika salamu za mwaka mpya alisema mkenya yeyote aliyoko nje anaweza kuja nyumbani kwake bila kipingamizi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. tol

    Zitto Kabwe: Sherehe za Mapinduzi za leo ndiyo za mwisho kwa Rais Magufuli ambaye anamaliza muda wake wa Urais Oktoba mwaka huu

    Kwa nini akamatwe kwa kosa gani tatizo lenu nyie mafisiem mnadhani mzee meko ni mfalme kwamba atatawala milele ...yite yanawezekana na wala sio ajabu na yeye zito kama kiongozi wa kisiasa lazima ajipe moyo kwamba chama anachokiongoza kitaibuka mshindi uchaguzi unaokuja Sent using Jamii Forums...
  10. tol

    Rais Magufuli: Wasiotutakia mema wanatumia Asasi za Kiraia na NGO kutuhujumu ili kufifisha jitihada zetu kujikomboa kiuchumi kwa maslahi yao binafsi

    Wakileta pesa wanakuwa watalii wakikosoa wanakuwa mabeberu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. tol

    Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

    Na yule aliyeenda nayo kusini mwa africa je Sent using Jamii Forums mobile app
  12. tol

    Sioni wa kuvaa viatu vya Dr. Magufuli kwa Miaka 20 ijayo

    Hiyo haiyoshi tumfanye awe mfalme ili atawale na kizazi chake na ikiwezekana tumpe na wake zetu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. tol

    Freeman Mbowe: Wakifanya uhuni 2020 kama waliyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 mpatanishi atakuwa Katibu wa UN

    Wacha kutulisha matango pori mbowe hajaasema hivyo Kasema kama kwenye uchaguzi mkuu 2020 ccm itafanya kama ilivyofanya kwenye chaguzi za mitaa ...mpatanishi atakuwa katibu mkuu wa UN Sent using Jamii Forums mobile app
  14. tol

    Part 5: TISS Bado safari ngumu

    Jibu hoja kwa hoja matisho yamepitwa na wakati
  15. tol

    CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

    Asaad kastaafu au kastaafishwa
Back
Top Bottom