Young D na Nyandu wote vijugu! Kinachowaponza wengi ni 'upunda'. Kuna kitu inaitwa 'kikata mavi' yaani unavuta ukiwa umemeza kazi il I kukata haja.. Hapo ndo wanapoanza mdogomdogo.
Pia wasanii wengi wana 'ngoma' na wanajijua so mawazo! Hao mademu wa Bongo movies ndo mama yaaangu acha tu huyo...
tena ni nooama kweli!mkuu biaahara hii ukiiangalia kwa jicho pana unaweza kufa kwa shock ukibahatika kuwajua hao ma Don!acha kabiasa hili balaaa ni kuomba Mungu tu hatuepushie hla hakuna mfumo wa kutokomeza ngada Tz kwa sasa.ni nom sana watu wengi wenye majina na heshma kubwa Tz wamo
maskini fatma chambo(tatiana bakar chambo)ameshavaa gwanda!mbona hamna majina ya jose kaniki na matumla kule ethiopia?ama washapewa dongo wengine hao wapopo na wakenya sema vinyago vya kibongo ndo vinawafanya waitwe watz wanapakaza kinoma..shadia(bint kiziwi) ndo atoki tena duh kweli Get rich o...
young D ndo anapikwa na hamidu.kama week mbili zilizopita walikua huko south.sio hao tu kina we**m cheketu na mpambe wake petutu manu ndo deal zinazowaweka town hii vita ni kubwa maana kuna hadi wabunge mapunda..mnajua kwa nini yule msanii nguruwe mweusi haombi tena?kanogewa huko kwa biznes.hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.