Kusema kweli watu wa Kilimanjaro amekula nao sahani moja! Kwa mtazamo huu ni vigumu watu wa kaskazini kumpenda JPM. Sina uhakika kama wao ndio wapiga deal kushinda wote.
Kuna jambo moja sijalielewa hapa, naomba mnijuze.
Ni kuwa Mh. Nape ameachia ngazi mwenyewe au ameachishwa? Nasema hivi maana katika taarifa ya ikulu haikutaja mojakwamoja kuwa Raisi ametengua uteuzi wake kwa Nape. Hili likoje???
Sitetei uovu unaofanywa na askari wala mtu yeyote, ila niseme ukweli kuwa wafugaji ni tatizo kubwa sana. Nitakwambia kwa nini. Wafugaji wanachojali wao ni mifugo yao tu, mazao ya wakulima kwao ni majani tu ya kulishia mifugo yao. Anayewatetea yeye hayajamkuta akaona uchungu wake.
Mimi nililima...
Tunaobeza tendo alilofanya Zitto hatujakutwa na tatizo kama hilo. Mimi nampongeza sana Zitto, just imagine unamsaidia damu, narudia 'damu yako' mtu ambaye humjui na kabla ya hapo si kwamba ulikuwa umefika hapo kwa dhamira hiyo. Hili tendo linahitaji ujasiri pia. Wewe kamata mtu sasa hivi...
Mimi naungana na waliosema ukweli kuwa watu wa kaskazini wamepiga hatua kimaendeleo kutokana na kujituma sana.
Niwape mfano mmoja. mwl Nyerere mwaka 1965 alikwenda maeneo ya Same kufungua shule ya msingi, iliyojengwa 100% na nguvu za wananchi. Lakini si hilo tu wakati anaenda huko alipitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.