Recent content by tofuca

  1. T

    JamiiForums Tanzania Business ideas (Bure)

    Hapo sawa,imekaa sawa
  2. T

    JamiiForums Tanzania HESLB kukata 15% ktk Mishahara ya wanufaika: Sheria haiwezi kutumika retrospectively

    Huu ni ubabe,wanasheria mtusaidie ktk hili
  3. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo imegongelea msumari mwingine wa moto kwa mtumishi wa Umma

    Hapo kweli ni shida ndugu. Kwa mchanganuo wako hapo juu wala hakuna kinachobaki bali madeni na lawama. Wengine kama nyumbani mbali hata hawaendi kwa kukosa nauli
  4. T

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Mbunge Elibariki Kingu kwa Wabunge CCM kuhusu fao la kujitoa

    Elibariki unakosea. Huna hoja zaidi ya kusema viwanda wala huelezi ni kwa vipi viwanda vinamsaidia mteja
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 1 nifanye Biashara gani?

    Zingatia michango ya wadau. Anzisha biashara ya mboga mboga. Kila mke mpe kibanda/meza yake then wewe simamia kama meneja ingawa na wewe unaweza ongeza vitu kama mkaa ili uwe bize siyo tu kusimamia
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu leseni ya biashara

    Hongera. Tin number hyo utaitumia ktk biashara zaidi ya 1 hata tgo,aitel na mpesa,genge n.k. ila leseni halmashauri au manispaa kuna afsa biashara atakupa leseni kulingana na aina ya biashara. Hapa tofauti na tra hawakadilii bali kila biashara inajulikana gharama zake. Kwa sasa lesen ni rahisi...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Je upo kundi lipi kati ya haya

    Ukweli unauma. Ila,nadhani kuna haja kujikana na kuacha kuajiliwa
  8. T

    JamiiForums Tanzania How to write a (CV) Curriculum Vitae

    Thanks, its inspiring!
  9. T

    JamiiForums Tanzania List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

    Mashine za kukoboa zinapatikana madukani hapa utahitaji kinu cha kukoboapia madukani vipo na bei ya kawaida.packaging waweza wasiliana na SIDO watakusaidia.Kama upo kanda ya ziwa mwnza maeneo ya Nyerere road utapata mashne hizo.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndani ya Mafia

    Tuwekee picha tuone siyo mnazusha tu au ndo wanaogopa kuonesha!
  11. T

    JamiiForums Tanzania PICHA: Zitto ana nini mpaka umati kama huu unaenda kumsikiliza?

    ZZK anafanya alichowhi kufanya akiwa chadema. Ninani asejua kuwa jamaa hivi unavyomuona ndivyoalivyoijenga chadema? aliwahi kumuita kada mmoja wa cdm kuwa ni kifaranga tu akimaaisha hakuna anachojua kuhusu ujenzi wa chama. ZZK ni uwezo aliojaaliwa cha msingi tumumbee harakati zake zisiishie njiani
  12. T

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde na Assumpta Mshama mmejisikiaje baada ya Hotuba hii ya Rais Kikwete?

    Mh. Asumpta hajui analofanya yeye yupo tu baada tu ya kuropoka pale bungeni wapiga kura wake wamemuona wa ajabu. Tarehe 14 Dec wakati wa uchaguzi alinusurika kipigo toka kwa wapiga kura alipojaribu kuingia ndani ya chumba cha uchaguzi kunusuru jahazi.
Back
Top Bottom