Recent content by Tofalizito

  1. T

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    TUMEOMBA KUKUTANA NA SIMBA TUMEPEWA TUNA SIKU KUMI TU NA SIMBA JANA WAMEUPIGA MWINGI SANA
  2. T

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    penalty walionyimwa kagera na penalt tuliyopewa sisi yanaweza kuwa makosa ya kibinadamu lakini mpaka sasa sijaelewa yule bwanamdogo alipataje REDCARD
  3. T

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    viongozi wet wajanja wajanja, si morrison wala shishimbi aliesaini mkataba viongozi wanatudanganya kweupe
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba atimuliwe

    Unajua Shida yetu kubwa tunashindwa kuthamini uwezo na game plan ya timu pinzani Au unadhani simba tulikuwa peke yetu pale dimbani Au unadhani wao hawakujiandaa kwa ajili ya mechi hii
  5. T

    JamiiForums Tanzania TCRA kama bado mna Meno yenu Makali natumaini hiki nilichokisikia leo kutoka Wasafi FM mtawaadhibu upesi

    Wasafi hata wao wenyewe huimba matusi dhahiri
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mr Blue hajawahi kuboa

    Yeah fa kwa mashairi mkali lakini raping yaje imepoa sana bayser anakulazimisha umsikize hata kama hutaki
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mr Blue hajawahi kuboa

    Hatari mzee
  8. T

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Huyu mbona muuzaji tu mfate tu insta na dau la kueleweka
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mr Blue hajawahi kuboa

    Tukiachilia mbali mafanikio mwanamuziki pekee hasa katika hiphop ambae hajawai kuchuja ni Mr Blue. Huyu jamaa ni noma anajua anachofanya na ukijaribu kumshirikisha kakufunika mfano ule mwimbo aloshirikishwa na Jux aliwafunika vibaya. Hongera bayser
  10. T

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tammy si mchezaji mbaya ila anahtaji kukua tu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Hilo jukwaa halipo mimi nimeliomba mno sijawahi kulipata
Back
Top Bottom