Jamani.............kitu ambacho hukijui ni lazima kitakutoa jasho la bure pasipo ongezi la maana.
huyu mama kafanya MAZURI sana hapa ofisini .....tatizo ni kuwa watu wengi sii wafuatiliaji wa mambo na kwa kweli Watanzania wachache tuna tabia ya kujidharau na haswa mwenzetu akipata kazi nzuri...
KAKA...kuwa mpole.
Siku ile ulipoanza kumpenda ile ndo formula yako ya kutatua hilo jambo.
Lakini kumbuka wewe ni KICHWA cha nyumba na uamuzi wako ndo dawa ya yote.
BE STRONG.
A WOMAN - SHE IS JUST LIKE A MIRROR IF YOU FIND HER SMILES YOU'LL SMILE BACK TO HER.
Kwa kweli hayo yote yaliyosema hapo juu ni haki na kikubwa kwa Waislamu ni kuwa ........ONLY EDUCATION will take you whre you want to be.............ila tuu kwa kuzingatia mafunzo ya mtume wetu, tutafiak mabl;i zaidi kwani JAZBA na kejeli kwa wengine itainya imani yetu ionekane kama ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.