Recent content by TNK

  1. TNK

    Manyanyaso ya TRA kwa wafanyabiashara wa Mbao

    Ase mie pia nilikamilisha kila kitu na mwisho nikuwa na barua hiyo kutoka kwa mtendaji e bwana pindi nikikutana na hawa TRA kwani walinielewa wacha waninyoe ndugu hawa watu sio powa.
  2. TNK

    Msaada: Nataka kuanza biashara ya miti ya mbao na Mrunda Njombe na Buchosa (Mwanza)

    Hiyo miti ipo maeneo gani Bosi wateja mbona wakutosha tu.
  3. TNK

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Ni biashara tamu sana lakini ni yenye risk kubwa usipotimiza taratibu hasa za maliasili kiongozi karibu tuwasiliane 0737263867
  4. TNK

    Kwa mliopo Mufindi na kwingineko, nataka nijitose kwenye biashara ya mbao, naombenini ushauri na uzoefu

    Ni kweli Mkuu unacho kiongea cha msingi ni umakini tu lakini kwa kuwa kama atanitafuta, sisi tuko huko, contact ziko hapo, mi nakuelekeza bila shaka kazi kwake atakavyo fanya.
  5. TNK

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Mdugu Mtaji unaweza ukaanza hata milioni kumi na tano hivi ambapo mchanganuo ni hivi... 1.milion 10 unanunulia mzigo 2.milion 1800000 nauli ya mzigo 3.Sh laki 8 hivi ushuru 4.Sh laki 4 kupakia mzigo 5.kibali inategemeana unakodi au umekata maliasili lakini vyovyote vile ni rahisi tu Ko...
  6. TNK

    Kwa mliopo Mufindi na kwingineko, nataka nijitose kwenye biashara ya mbao, naombenini ushauri na uzoefu

    Sio kiongozi wengi ndo tunasafirisha ni mbao nzuri kabisa na bora sana cha msingi awe na soko la kuaminika mzigo usikae zaidi ya miezi miwili au mitatu awe suplaya ni mbao supa kupinda ipo kazi na Miti imekoma sana. Msitu wa serikali unalisha kwa sehemu ndogo sana sehemu kubwa ni mbao zinazo...
  7. TNK

    Kwa mliopo Mufindi na kwingineko, nataka nijitose kwenye biashara ya mbao, naombenini ushauri na uzoefu

    Bei Za kila size ya ubao 2x2=1200 1×4=1200 2×4=3200 2×3=2200 2×6=4300 1×8=5700 1×10=9600 Ushuru kila unao ni Tsh 250 haijalishi size ya ubao. Nauli inategemeana na gari unayo pakia lakini ni ya kawaida tu lakini ili uone faida nzuri safirisha mzigo kwa kutumia Gari tani 30 au tani 15. Kuhusu...
  8. TNK

    Kwa mliopo Mufindi na kwingineko, nataka nijitose kwenye biashara ya mbao, naombenini ushauri na uzoefu

    Kiongozi 2x2= Tsh 1200 1x4=Tsh 1200 2x4=Tsh 3300 2x6=Tsh 4200 1x8=Tsh 5700 1x10=Tsh 9500 Hizo ni bei za Kila size ya Mbao Nipigie cm 0737263867. Nibiashara zuri sana ukiwa na soko la uhakika asikukatishe mtu tamaa mawa,o yako ni mazuri. Kuhusu maswala ya vibali ni rahisi sana maliasili...
  9. TNK

    Msaada: Nataka kuanza biashara ya miti ya mbao na Mrunda Njombe na Buchosa (Mwanza)

    Boss hiyo kitu ni nzuri sana Mimi sio mzoefu wa hiki kilimo ila nakifahamu mana najihusisha na biashara ya Mbao karibu kwa Mawasiliano nipo Makambako 0737263867
  10. TNK

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    NIPO WHATSAP KWA 0737263867 BIASHARA YA MAZAO YA NAFAKA NA MAZAO YA MITI YAANI MBAO MINUNDA BIASHARA POWA SANA Na yote haya Mazao yanapatikana Hapa Makamnako Njombe bila shida karibu tukae mezani tufanye biashara.
  11. TNK

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    MBAO NA MINUNDA YOTE IPO ILA KWA MINUNDA WEKA ODA MAPEMA IANDALIWE VIZURI. KWA MBAO mda wote na size zote zipo Boss zangu karibu tufanye biashara conta t 0737263867
  12. TNK

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Bosi mi nipo Makambako biashara ya Mbao ipo na ni nzuri sana kama unahitaji kweli kufanya biashara hii karibu Boss mi nipo hapa na soko liko hapa Contact 0737263867
  13. TNK

    Biashara ya maharage ya njano

    Jamani napenda Kukuambieni Karibu katika Bishara ya Maharage ni biashara nzuri sana na hautajuta kuwekeza katika biashara hii mana ina faida sana risk yake ni ndogo ukilinganisha na biashara nyingine. Hata kwa wale wanao hitaji kufikishiwa mzigo Dar, Dodoma na popote tunaongea...Ila ni vema...
  14. TNK

    Biashara ya maharage ya njano

    MAHARAGE YAPO MAKAMBAKO NDUGU, MSIMU WAKE HASA AINA ZOTE ZA MAHARAGE YANAPATIKANA,KARIBU MKUU 0737263867
  15. TNK

    Wapi yanalimwa maharage ya njano?

    Aina zote za maharagwe yapo.
Back
Top Bottom