Recent content by tnicasissamo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri jamani...

    Wakuu habari zenu, jamani niko kwenye mahusiano lakini ikitokea sijamtafuta nae anakausha, kapiga kimya mbaka sasa nakaribia mwezi sasa, hivi napendwa kweli? [emoji1784][emoji1784][emoji1784] Kiukweli naumia mungu tu anajua ni kiasi gani najiskia[emoji3525]
  2. T

    JamiiForums Tanzania Huyu mdada anavyonichunia baada ya kumwambia hivi, kosa langu ni nini?

    Ipo siku atakutafuta tu...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi...

    Mgeni Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kipimo cha ujauzito

    Ni mwez 1 sijana.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kipimo cha ujauzito

    Msaada jamani nimenunua kipimo cha mimba nakujipima majibu yapo hivi: Umetokea mstari mmoja kwa juu ila tu hili eneo lililobaki yani limevilia rangi kama nyekundu. Je ina maana gani?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amekuta nywele za siri chumbani kwake

    Ushauri wangu atulie then aanza kumfatili mkewe taratibu atapata jibu...
Back
Top Bottom