Msaada kuhusu kipimo cha ujauzito

tnicasissamo

Member
Aug 26, 2015
6
1
Msaada jamani nimenunua kipimo cha mimba nakujipima majibu yapo hivi:

Umetokea mstari mmoja kwa juu ila tu hili eneo lililobaki yani limevilia rangi kama nyekundu.
Je ina maana gani?
 
Kanunue upime tena. Uwe kama unajiona umefanya sex siku ya hatari meza vidonge viitwavyo morning after pillz au plan b, kumbuka kuzuia mimba ni bora kuliko kuitoa.
 
Weka picha.

Ila kama mimba bado ndogo sana mstari wa pili huwa faint
Exactly,that is exactly i was about to say,wengi wanachanganya huo mstari faint wa chini ambao ukiwa faint ni dalili ya mimba,kwa maelezo yake its obviously ana mimba,ila ni vyema aende hata kwenye dispensary kupima tena kupata uhakika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom