Siti ya mbele tusubiri wataalam.....halaf hili tatazo limeletwa humu mara kadhaa na watu tofaut tofaut lkn Sijaona alitoa Suluhisho...Uz hua unaishia njian tena ukuwa na wachangiaji wachacheeeee sijui kwa nini aisee
....Wamrudishe Mussa Hussen kwenye kipind cha Jahaz....Bantu wakiwa na Mussa kipindi hakitatetereka sana maana Musa Pia wanaendana na Bantu na hata kipind Gadnar Yupo Musa alionekana Ku fit...Gadner, Bantu na Mussa Hussein ilikua Combination Poa
Duh...kuna siku nilishinda Bugando kuanzia saa 12 asbh nikaja kuonana na Huyo dokta Bunane saa 12 jion.....yaan kuniangalia tu kwa macho na maelezo yangu simple tu akanijibu nina allergy yaan niliaa nae dak 5 tu....nioichoka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.