Recent content by tmkissima

  1. T

    Manumba alazwa ICU Aga Khan

    Tunamuomba allah suhhana wa taala amjaalie azinduke ili madaktari watoe ruhusa apelekwe India kwa matibabu zaid. Yaa allah mjaalie huyu mja wako, muondoshe katika hali ya ugonjwa aliyokuwa nayo na awe na afya njema. Aameen.
  2. T

    VIDEO: Josephine Mushumbusi akihutubia Singida Mjini

    Wanakoelekea CDM ni pagumu sana ukizingatia CCM wamejirekebisha sana kiasi cha kuwaaminisha wananchi kwamba wako makini kuliko CDM. kwa kweli kama CCM wataendelea kuwa wasikivu na wachapakazi hivi sijui CDM watatumia turufu gani 2015. JUST IMAGINE MAGUFULI AU MWAKYEMBE NDIO MGOMBEA WA CCM 2015...
  3. T

    VIDEO: Josephine Mushumbusi akihutubia Singida Mjini

    Katika hotuba nzima anawananga wana singida kwa kumchagua Dewji, nadhani hapa ndiko chadema wanapokosea, yeye alitakiwa awambie wana singida mjini kama watachagua chadema kuna jambo gani la maana zaid itawafanyie kuliko Billionea Dewji. au awatolee mfano wa jimbo linaloongozwa na Tundu Lisu...
  4. T

    Hongera Mwakyembe, ...Ila...!

    Mwakyembe anatisha, kama atachukua form na magufuli naye akachukua nahisi kama patachimbika, japo mimi nahisi Mwakyembe kwa sasa yuko juu zaidi.
  5. T

    Gazeti la kikiristo la 'Nyakati' ni zaidi ya Annur na Redio Imaan kwa uchochezi

    Tatizo ni nyinyi mnaoandika habari za kichochezi sio CCM koma kabisa. Tukitaka kunyosheana vidole hapa hatutafika cha muhimu tutafute jinsi ya kumalizi hii sumu ya udini inayotaka kuenea katika nchi ambayo tuko almost fifty fifty. Hakika madhara yatakuwa ni makubwa kabisi. WATANZANIA WOTE KWA...
Back
Top Bottom