Mkuu pengne Jana hukuskikiza kipindi cha kipima joto, Maafsa wa TCU waliulizwa hili swali na ndvyo walivyojibu. Of course hata mei nlishangaa, walisema mabadiliko hayo yanawahusu eote wanaojidahili mwaka huu wa masomo sambamba na continuous students. Kama uliingia chuo ukitokea fm6 lazma uwe na...
Hii inawahusu continuous pia hasa waliotoka diploma kama uko 2nd au3rd year na matokeo yako ya dipoloma ulpata below 3.5gpa umeenda na maji mwanawane katafute kaz nyingne yakufanya.
Ee Mungu Baba nkasema ahsante.
Wakuu nmepata mkopo kupiga tia-Mbeya campus. Nkwel tia-Mbeya campus nmechaguliwa pa. Lakni kwenye profile yangu ya Nacte inaonyesha nmechaguliwa tia -dsm campus nanikweli hata kwnye website ya tia -dsm Jan langu Lipo.
NOTE :Wote TIA dsm campus na TIA Mbeya...
Nmekusoma mkuu, thanks kwa kunipa Matumaini
Ckutaka kumubishia mshikaji kwani kumbukumbu zangu znathibisha nkweli kozi zote za TIA ni non priority
Mkuu vp lakn chuo chenyewe academically mana vyuo vngne wanafunzi wanafelishwa hovyo hovyo
Ahsante kwa Malibu bomba mkuu. Nimechaguliwa Kozi ya Ugavi na Ununuzi bado nko home Simiyu nasubil third lot ya heslb. Mwaka sasa sina uhakika kma ntasoma mwaka huu mana kuna mtu kanambia kwa chuo cha TIA hawatapata mkopo b'se kozi zote sio za kipaumbele. Bado najipa matumaini na loan board...
Mpaka sasa tia dsm kuna Mwanachuo wa first year yoyote kapata mkopo? Kozi zote zahapo tia sio za kipaumbe, vpi kwa continuos students WaPo wanaolipiwa na bodi hiyo (heslb )
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.