Recent content by tm25

  1. T

    Chacha Wangwe alifariki tarehe kama hii

    Duuh! ila kweli siasa mchezo mchafu... jamaa alichambishwa hadharani na hao jamaa eti leo wamemuona dili...mimi naona hao jamaa wanatafuta wafuasi kutoka ccm watakao hama na lowasa, wanataka wamchune hizo pesa zake anazolingia na kuongea... haiwezekan ktk hali ya kawaida umuite mtu fisad halafu...
  2. T

    Pengo unamsamehe Gwajima kwa kosa gani?

    Dhambi ya usaliti, hata Yuda alimsaliti Yesu kwa vipande 30 vya fedha.... Hivi ile aliyobeba kilaini na wenzake kwenye mifuko pale Mkombozi benki ni kweli ilitoka kwa J-mapesa au J-mapesa alikuwa njia ya kufikisha mzigo tuu? Hili ni tatizo linalotafuna watumishi wengi wa dini... kupenda misaada...
  3. T

    Mtanzania akamatwa Kenya kwa tuhuma za ugaidi

    Huyo wa kwanza sijui ndiyo mtanzania, alivyo serious anaonyesha amekubuhu yani hana sura ya aibu wala uoga... Wahojiwe vizuri yaweza ikawa walilazimishwa kwenda huko
  4. T

    Nida

    Mimi nijuavyo siwezi kusema km ni internal advertisement au laa! kwani hata hao walioko huko wakivolunteer ni shida kupata nafasi ya kuajiliwa usipokuwa na mtu wa kukubeba tena aliyeshiba kicheo wakubwa wananuniana pale kwa kutofanyiwa fadhira, jaribu kutia timu pale uone idadi kubwa ya watu...
  5. T

    Je! Umehitimu chuo na huna ajira?

    Mimi nina ujuzi wa uhasibu ila nina extra experience upande wa IT katika mambo ya accounting packeges (tally na quick book)Je, kwa vigezo hivi sitofit hapo?
  6. T

    Kwa nini JKT wanafanya hivi?

    Yangekuwa ndiyo yaliyoko huko basi ndugu zetu waliokimbizwa mchakamchaka wasingeandamana kwa kudai ajira wakati walijazwa ujasiriamali kwa miezi 6, hebu bahatika uende ukachungulie uje utuhadithie yaliyoko huko ingawa naamini hutosema ukweli yaliyokukuta na uliyoyakuta huko.
  7. T

    Partnership katika biashara

    Weka Contact Zako Nikutafute
Back
Top Bottom