Recent content by Tlaghasi

  1. T

    Tanganyika Law Society coming election

    HABARI WANA JAMII FORUM. Nachukua nafasi hii kumshukuru Mungu muweza wa yote kwa hali ya hewa nzuri hapa arusha nikiamini pia kuwa ataubariki mkutano wa mawakili unaofanyika leo ikiwa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi wa Tanganyika Law Society hapo kesho, Ni matumaini ya kila mtanzania...
  2. T

    Naomba kueleweshwa kuhusu mgawanyo wa majukumu kati ya polisi

    Hodi humu ndani,. Siku zote najiuliza kuna mgawano wa majukumu kati ya polisi wa usalama wa raia na polisi wa usalama barabarani? Maana inachanganya kidogo pale askari wa usalama wa raia anapoingilia kazi za askari wa usalama barabarani. Naombeni ufafanuzi kidogo kwa hili wadau.
  3. T

    Je, inawezekana Mungu ndiye amemua kumuumbua Gwajima au hakumpanga vizuri yule mama??

    KAMA YESU ALIVYOKUWA KUHANI MKUU NDIVYO VIVYO SISI NASI TU MAKUHANI KAMA ALIVYOTUKABIDHI MAMLAKA YA KUKANYAGA NGE NA NYOKA WALA WASITUDHURU. HIVYO BASI UPONYAJI HUJA KWA IMANI SIO KWA LAZIMA YA KUOMBEWA NA MTUMISHI FULANI.
  4. T

    Ridhiwani Kikwete: Ni radhi kufa maskini kuliko kuuza Dawa za Kulevya

    NI KITAMBO TU KAMA KUKU ATANYONYOLEWA AU LAA.:(:(:(:(:(
Back
Top Bottom