Recent content by Tky

  1. Tky

    JamiiForums Tanzania Kwa nini chadema wanatumia nguvu sana kwenye hili swala la Madawa?

    Umekosa vtu vya kuandika, cdm wamtete wema au diamond!!!!
  2. Tky

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa: CHADEMA tutashiriki midahalo yote ya Uchaguzi Mkuu

    hatukujibu kwani hatutaki uvae gwanda.
  3. Tky

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo Kimara Matangini tarahe 6/06/2015

    Na ubunge mwaka huu hapati, atausikia tu, zambi ya usaliti itamtafuna huyu yuda had ajifunze.
  4. Tky

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kihistoria wa Kinana uwanja wa Mashujaa, Mayunga - Bukoba

    Dada juliana shoza, uwe mkwel tu bado mapenzi yako yapo cdm! Sema ukwel tu dada msema kweli mpnz wa Mungu dada.
  5. Tky

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kihistoria wa Kinana uwanja wa Mashujaa, Mayunga - Bukoba

    kama kuna vijana wanavuta bangi na wanakunywa viroba afu wanapata ujasili wa kupambana na majizi nawasihi pigen zaid hata mara 3.
  6. Tky

    JamiiForums Tanzania Ni bora vijana wavuta bangi na wanywa viroba.

    Natamani nigawe viroba na bangi, kwa waendesha bodaboda, waokota makopo, wasukuma mikokoteni na vijana wengine wote ambao hawana shughuli za kufanya kwa sababu ya ukosefu wa ajira.
  7. Tky

    JamiiForums Tanzania Ni bora vijana wavuta bangi na wanywa viroba.

    Wanajamvi ni mtazamo wangu tu, mimi naona ni bora vijana wavuta bangi na viroba kama vinawapa ujasili wa kupambana na mkoloni mweusi ccm, nawasihi kama unakunywa viloba na unavuta bangi na vinakupa ujasili kutetea haki yako dhidi ya utawala mmbovu wa ccm zidisha mara tatu zaid tuendeleza mapambano.
  8. Tky

    JamiiForums Tanzania Updates na Picha: Mkutano wa ACT-Wazalendo Arusha leo 29/04/2015

    asante umekubali kua alikosea, na chama chenu kinapokea watu waliokosea kwenye vyama vyao na ndio maana kinaitwa chama cha wasaliti.
  9. Tky

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nashangazwa na Msimamo wa Mbowe Kuhusu UKAWA

    Na mimi narudia tena hatumtak.
  10. Tky

    JamiiForums Tanzania Prof. J kutikisa Kimara mwisho DAR

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mtaa wa Kimara Matangini kimeandaa mkutano mkubwa, utakao fanyika katika viwanja vya Kimara mwisho stand siku ya tarehe 1/05/2015. Mgeni rasmi katika mkutano huo atakua prof J. Upatapo tarifa hi mjulishe na mwenzio karibu sana.
  11. Tky

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na style ya kupunga mikono hewani

    Delete kabsa.
  12. Tky

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Dr Slaa Morogoro na mkutano mkubwa wa hadhara

    Asante kamanda.
  13. Tky

    JamiiForums Tanzania Vijana NCCR-Mageuzi: Hatuwataki Dr. Slaa na Lipumba urais UKAWA

    Kafungie vitumbua hlo gazeti.
  14. Tky

    JamiiForums Tanzania Tafadhari Brother Freeman Mbowe, Tujitafakari upya

    Dogo anakufa kiume, atakuja kugundua kuwa alkosea akiwa amechelewa sana.
  15. Tky

    JamiiForums Tanzania NCCR - Mageuzi yateua mgombea urais, ni George Kahangwa

    Sipotez time yng kusoma utumbo huu.
Back
Top Bottom