Recent content by title

  1. T

    Nasumbuliwa sana tumbo

    Fika kwa walokole wakakuombee utapona kabisa.
  2. T

    Kwanini JK Nyerere hakujimilikisha hata mashirika mawili ya umma kwa ajili ya familia yake?

    Kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake hivyo Mwalimu ni Mwalimu na viongozi wasasa ni wasasa . zamani watu walikuwa hawajui thamani ya hela sasa hata katoto ukimpa hela ndogo hakuelewi sasa viongizi wanaokaa na hela waache kuiba
  3. T

    Kila Mtu anaweza Kuwa Tajiri akitaka

    Chochote upandacho ndicho utakacho vuna. Mauti na Uzima vimo midomoni mwa MTU, imani huona mbali kwa Imani Ibrahim alihesabiwa haki kuwa Baba wa mataifa, kwa imani Henoko hakuonja mauti, Kwa imani Hanna alipata mtoto Samwel, Mdomo huumba maana kinywa hunena yaujazayo moyo, Ujana umejaa maono...
  4. T

    Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

    Naamanisha ukijamiana nae sio kutembea kama kutembea
  5. T

    Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

    Ivi mm nauliza ukitembea na mwanamke siku ya sita ya hedhi anaweza pata mimba?
Back
Top Bottom