Recent content by tintyeche

  1. T

    Computer4Sale Nauza laptop yangu mpya kabisa

    Habari wana jf, nina kipengere nimeona niuze laptop yangu ambayo ni mpya kabisa haina hata mchirizi wala mkwaruzo. Hp corei7 proc up to 4ghz gen 10 ram 8gb ssd 1tb 15.6' Bei yake ni 1.5Mil Tunaweza wasiliana pia kwa namba 0679987048 normal calls
  2. T

    Nahitaji samaki wa kufugwa sato tani 2

    Kwa yeyote aliye na samaki tiyari kuvunwa anicheki naihitaji tani 2 kila wiki mimi nipo dar
  3. T

    Yaliyojili written interview TPA

    ungeweka maswali mawili matatu hapa chapu
  4. T

    Nahitaji kilo 2000 (tani 2) za Sato/Perege fresh kutoka bwawani

    Habarini, Mimi nahitaji samaki aina ya sato tani 2 kila week biashar endelevu nipo Dar, samaki wa kufugwa uzito kuanzia gram 350, 400 mpaka Kg.
  5. T

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    mambo vipi kambare bado unahusika nao? na bado unao kwa kipindi hichi niko na uhitaji wa tani 2
  6. T

    Nahitaji samaki aina ya sato wa kununua wanaofugwa

    Ndio kila week nahitaji kilo 2000kg, samaki kuanzia 400gram mpk 1kg,
  7. T

    Nahitaji samaki aina ya sato wa kununua wanaofugwa

    Habarini ndugu zangu, Nipo na uhitaji wa samaki aina ya sato wanaofugwa kwenye mabwawa waliotiyari kuvunwa, mahitaji yangu ni tani 2 kila week. Kwa yeyote anaefahamu wanapopatikana, au yeye mwenyewe anao tujuzane tufanye biashara, mi niko Dar.
  8. T

    Tunauza Sangara kwa bei ya Tsh 7000/1kg

    mimi nataka sato pure unao? na ni bei gani?
Back
Top Bottom