Recent content by Tinta

  1. T

    Ni wakati wa SHIA kukabidhiwa BAKWATA.

    Wewe ni muongo sana,Mashia Tanzania hawafiki hata asilimia 2 na ni Watu wanaojaribu kueneza uongo na propaganda za kila aina ili kutengeneza attention waonekane wapo wengi kwa faida za kujaribu kupandikiza mawazo yao ya kimapinduzi. Shia popote pale anafikiria mapinduzi tu ili kusimika utawala...
  2. T

    Huyu ni mtu pekee anayefahamu vyema yanayotokea Kibiti na Ikwiriri na huenda akawa na majibu yake

    Wewe unadhani Raia hawatoi Ushirikiano? Unadhani hao wwliouwawa Raia waliuwawa kwa sababu gani? Sikiliza: Tatizo Raia wakitoa taarifa usiku wanauwawa! Nani anavujisha Habari kwa majambazi kutoka polisi ya Kibiti na Rufiji kua Fulani kaleta Taarifa? Je kuna Polisi wahalifu wanashirikiana na...
  3. T

    Huyu ni mtu pekee anayefahamu vyema yanayotokea Kibiti na Ikwiriri na huenda akawa na majibu yake

    KINACHOKATISHA TAMAA MAENEO YA KIBITI NA RUFIJI: WALE WANAOENDA KUTOA TAARIFA ZA SIRI POLISI NDIO HUTOKEWA NA MAJAMBAZI NA KUUWAWA! SWALI, MAJAMBAZI WANATOA WAPI HABARI KUA FULANI KAPELEKA TAARIFA POLISI? JE POLISI YA HUKO KUNA WAHALIFU WNAOSHIRIKIANA NA WAHALIFU?
  4. T

    Utata na historia ya Salum bin Almasi aliyeuawa Kurasini akituhumiwa ni jambazi

    Kwahiyo Kuwa na "midevu" ni kuvunja Sheria za Nchi? Wacha umburula wewe Hasidi wa kutupwa.
  5. T

    Maswali sahihi ya kujiuliza baada ya mauaji ya polisi, Kibiti - Pwani

    Kuna swali la msingi sana ambalo Watu wengi wanakisahau! Wale wananchi waliouwawa na majambazi wanaokaribia 20 huko pwani wakiwemo wenyeviti na watendaji ni baada ya wao kutoa taarifa za Siri kwa polisi kuhusu majambazi. Hivi hao majambazi walijuaje kua hao ndio waliotoa Taarifa kwenye jeshi la...
  6. T

    Mauaji ya Polisi: Gazeti la Jamhuri Laibua Chanzo Cha Ajabu!, "Makubwa!" Lapongezwa na "Jicho Letu"

    Bado nazidi kukupa maono, Kuwa kwenye uchangiaji wa maudhui hii uandike kwa makini sana. kwamfano wewe unadhani Mhalifu ana sura maalumu? Nimekuambia mhalifu hajifichi kwa vazi au aina inayoweza kumtambulisha kirahisi, wanaovaa suruali fupi au hijaab wapo miaka mingi kabla ya hawa washenzi...
  7. T

    Mauaji ya Polisi: Gazeti la Jamhuri Laibua Chanzo Cha Ajabu!, "Makubwa!" Lapongezwa na "Jicho Letu"

    Nakuunga mkono kwa asilimia kubwa,kwamba Ilunga ni katika wachochezi wakubwa akimfuata Abud Rogo. Ila lazima uelewe kua Ilunga na rogo ni moja katika wahuni tu waliokuwepo,na wala si katika mashekhe. Ni Watu waliojivika ushekhe wakati ni wajinga wa kutupwa! Yule Ilunga alikua hawezi hata kutoa...
  8. T

    Mauaji ya Polisi: Gazeti la Jamhuri Laibua Chanzo Cha Ajabu!, "Makubwa!" Lapongezwa na "Jicho Letu"

    Mkuu unachotakiwa ni kuchangia hoja inayoendana na maudhui, hivi unadhani kama kweli hao wahalifu ni Alshabaab watavaa kanzu na vilemba? Na unadhani unaweza kuwaona eti wanatembea makundi makundi na mabegi na kuingia misikitini? Na hii ndio shida ya uwelewa, ila nashukuru kikosi maalumu...
  9. T

    Mauaji ya Polisi: Mwigulu azungumzia vilivyohisiwa visababishi vya sintofahamu hiyo

    Mkuu kua na amani. Kwenye Uislam hakuna kufichaficha kama ulivyokaririshwa. Maisha ya waislam yako wazi peupee na wala hakuna ulilofichwa, na Dini Nzima imeandikwa kwenye Qur Aan na Hadithi na Hata wewe ukitaka unaweza kusoma mwanzo hadi mwisho. Uovu ukitokea hukemewa na wote, sawa sawa...
  10. T

    Mauaji ya Polisi: Mwigulu azungumzia vilivyohisiwa visababishi vya sintofahamu hiyo

    Huwezi kutoa hoja mpaka utukane? Basi hata mimi nakuambia wacha upuuzi wewe, kwani huwezi tahadharisha madhara falani mpaka yatufike? Lakini Kwani wewe umesahau kua Tanzania ishawahi kushambuliwa kwa shambulio la kigaidi na Alqaida kwenye ubalozi wa Marekani DSM? Pia unajisahaulisha kua Hapo...
  11. T

    Mauaji ya Polisi: Mwigulu azungumzia vilivyohisiwa visababishi vya sintofahamu hiyo

    Wewe nawe sijui unaongea nini! Watu wanajadili tatizo wewe unaleta chuki binafsi na waarabu! Hivi wewe hujui kua nchi za kiarabu ndio zenye mampambano makali na vikundi vya kigaidi? Nchi hizo ndizo zinaongoza kwa kupambana na makundi haya ya kigaidi kama vile IS na Alqaida na wengineo. Na...
  12. T

    Mauaji ya Polisi: Mwigulu azungumzia vilivyohisiwa visababishi vya sintofahamu hiyo

    Sasa wewe ndio umeongea nini? Yani Watu wana jadili Tatizo lingine wewe unaleta habari nyingine. Yani wewe unataka kuwaaminisha Watu kua Uislam ndio Ugaidi wenyewe? Kwa hapo umenoa. Tunachozungumza ni Baadhi ya Watu kupotosha au kupotoka kwa kutoyajua au kuyaelewa mafundisho ya Dini. Yani...
  13. T

    Mauaji ya Polisi: Mwigulu azungumzia vilivyohisiwa visababishi vya sintofahamu hiyo

    Wewe kama haikuhusu utulizane sisi ndio tunatoa Taarifa kua vijana hao wapo maeneo hayo kwa mujibu wa wananchi wa maeneo hayo na mwigulu yumo humu anaona. Sasa wewe endelea na yako.
  14. T

    Mauaji ya Polisi: Mwigulu azungumzia vilivyohisiwa visababishi vya sintofahamu hiyo

    Kwanza kabisa: mimi nimemuunga mkono Ustaadh hapo kua wanaojishughulisha na makundi haya hawana elimu ya Dini. Pili: maneno yako kua Usalafy sio kuleta fitna yanaonyesha kua wewe huujui Uislam, Wala hujui Historia Yake. Kwenye Uislam jambo la Amani ni la Msingi sana! Na ndio maana kukawa na...
Back
Top Bottom