Recent content by tino2604

  1. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani na watanzania wanaoishi Afrika Kusini

    Kwa tume ya chande ilivyokaa watanzania wa south wakija tu nchini ndio wao watapewa kesi ya kuhamasisha mauwaji na watumia silaha.
  2. T

    JamiiForums Tanzania " Eti Nchimbi ndio anafaa awe Rais wetu" Rais Samia ajiuzulu

    Huyu ndio raisi wa nchi ajaye maana kwasasa ukiangalia kwa jicho la kiufundi jamaa peke yake ndie aliyebaki na mvuto kuliko wanachama wenzie wote, ingawa kwenye uchaguzi kazi itakuwa pevu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tangu nizaliwe, sijawahi kufika Dar es salaam. Naombeni ABC za jiji hilo kabla sijazamia

    Huku ni kuishi kwa akili kama biblia ilivyosema kwa mwanamke
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za kisiasa nchini

    Miaka 7 nyuma ulikuwa ukiniambia kuhusu chadema nilikuwa sikuelewi ila kwasasa tumuachie Mungu tu
  5. T

    JamiiForums Tanzania Dunia ilikuwaje kabla ya uhai?

    Mmmh hizi story mzee unaweza usilale usiku
Back
Top Bottom