Hakuna jambo lolote mhaya anaweza kwenda kujifunza Kilimanjaro, njoo na ushaidi dhabiti ni jambo lipi watu wa Kagera watajifunza Kilimanjaro ambalo Kagera halipo?
Bora wewe umesema kile ulicho kiona shida ni kwamba walio wengi wanabeba data za kwenye mitandao tu lakini hawajawahi hata kufika Kagera , ukweli huu mkoa umendelea sana kuliko mikoa mingi sana hapa nchini yamkini huwa kuna sababu zinazo chagiza jambo hili
Hizi data huwa zina lengo fulani nyuma ya pazia si kweli kwamba Kagera ni mkoa maskini hata kidogo, ni ngumu kuamini haya bila mtu kuingia na kuzunguka Kagera, niliwaza kuwa labda mapato yanayo kusanywa kutoka Kagera basi hayaendi ipasavyo serikalini hivyo kuonyesha mkoa ni maskini. Ki ukweli...
Ndonya za wamakonde ndiyo kwa upande mwingine ni kweli ndizo tatoo zenyewe lakini hiki ni kitu tofauti sana na hizi za kisasa haswa katika mitazamo na fikra za watu...hebu jaribu kufikiria wanaume wa Kimasai wanasuka nywele na jamii haina shida na hilo...lakini hebu niambie mwanaume wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.